Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

tulikuja bila vyeo, vitu nk na ipo siku tutaviacha Mungu atamhukumu mtu kwa kadri alivyofanya.any way mimi c mkereketwa wa vyama ila nawatahadhirisha kwamba Mungu anaona hata mambo yenu ya sirini alafu mtambue kuwa hukumu ya jambo ovu/baya ipo ingawaje inachelewa yaweza pita miaka but itatokea pamoja tunatumia ID feki but hata haya tuyayoandika hapa tutatoa hesaba kwa Mungu aliyetupo bahati ya kuishi fanyeni mema mtazawadiwa malipo huanza hapa duniani
 
Mwigulu wewe ni mtu mwenye nyadhifa na fedha katika nchi hii na ndio hata baada ya kumpoteza mwanangu nimeshindwa kujitokeza hadharani na kwenda kukushitaki kwani ninajua nikijaribu na mimi pia nitapoteza maisha yangu. Mipango yako dhidi ya mauaji ya soweto (bomu la soweto)ninajua fika hukulifanya kibinafsi kwani ulikuwa na maslai ya chama chako na msukumo wa nguvu kutoka kwa baadhi ya watu ambao sio waaminifu serekalini.

Ila elewa nguvu uliyokuwa nayo iko siku utaikosa na upande wa pili utakuwa na nguvu na hapo ndio itakuwa muda muafaka kwangu kulipiza kisasi.

Namuomba Mungu atupe maisha marefu ili nchi hii ije kushuuudia ukilipa uliyoyafanya.
 
Umekuja kujibu leo baada ya kuona nchimbi kamwaga,na bado
 
kwa hii post yako unataka kusema si ruhusa watu kuonana mara kwa mara, mfano mbowe na slaa wakionana mara kwa mara ni kosa??

Na wewe ndo akili yako ilipokufikisha kwenye hitimisho hilo!? pole sana. kweli kazi ipo hapa.
 
Na unaamini kwa dhati kabisa kuwa kwa maneno yako haya mnamsaidia Mwigulu katika kile anachokusudia wananchi wamuelewe..!? Dah.. hebu soma tena post yako kisha jitendee haki wewe na upeo wako ndugu.

awa jamaa wanazidi kuvuwa nguo bosi wao, ni dhahiri jamanii kwa sasa wanajuwa hila zao,
r.i.p dr Mvungi
poleni wote kwa janga la Soweto.
 
Statement hiyo imekuwa very popular nowadays.
 
Muda wote ulikuwa wapi na unapata wapi guts za kueleza huo utumbo wako hapo juu?ni mwezi sasa umepita tangu zile email ziwe public but kwa kiburi cha cheo cha Nchimbi ukakausha kimya kama kipofu na kiziwi,leo hii umeona kinga yako Nchimbi imetoswa ndio ukaona uje hapa kulialia kama Mjane. Mwigulu kijana mwenzangu nakusikitikia sana Maisha yako yataishia katika mwisho upi,mikono yako imejaa damu za Innocent people. Hivi kwa akili yako unadhani unaweza kuishi Milele kwa raha mustarehe huku ukichukua Roho za watu wengi bila ya hatia yeyote?haujui kwamba unaiachia familia yako laana na mikosi isiyowahusu?Dr Mvungi kipi hasa alichowafanyia mpaka mkaamua kukatisha Uhai wake pasipo sababu yeyote ya Muhimu,kama ni swala la Katiba si nyie wenyewe ndio mlikubali Mchakato wa Katiba Mpya? Damu ya Dr Mvungi haitaacha kukuandama popote pale ulipo wewe na Nchimbi.R.I.P Dr Mvungi.

Inatisha sana ndg yangu! Lakini Mungu yupo na malipo ni hapa duniani. Siku zao zinahesabika! Na mwisho wa ubaya ni AIBU.
 
Mwigulu wewe ni mtu mwenye nyadhifa na fedha katika nchi hii na ndio hata baada ya kumpoteza mwanangu nimeshindwa kujitokeza hadharani na kwenda kukushitaki kwani ninajua nikijaribu na mimi pia nitapoteza maisha yangu. Mipango yako dhidi ya mauaji ya soweto (bomu la soweto)ninajua fika hukulifanya kibinafsi kwani ulikuwa na maslai ya chama chako na msukumo wa nguvu kutoka kwa baadhi ya watu ambao sio waaminifu serekalini.

Ila elewa nguvu uliyokuwa nayo iko siku utaikosa na upande wa pili utakuwa na nguvu na hapo ndio itakuwa muda muafaka kwangu kulipiza kisasi.

Namuomba Mungu atupe maisha marefu ili nchi hii ije kushuuudia ukilipa uliyoyafanya.

Ndugu hebu weka wazi unachokiongelea ili nasi tujue, inaonekana kuna jambo wewe na rafiki yako Mwigulu mnalijua sisi hatulijui, hebt weka wazi nasi tufahamu.
 
....Mkuu huyu shetani lazima apande kizimbani!!!!

this is too much.....

Nani atampandisha kizimbani ikiwa Serikali niyao? Watu wa maGAMBA wameanza leo kulalamikiwa,,,,!! nambona hakuna kilichofanyika!!
 
Ben sio mara yangu ya kwanza kufafanua hili. Siku nilipoiona tu niliandika humu na fb kuwa hiyo sio e mail yangu na wala sijawahi kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa e mail. Hapa nimeongelea ya kuwa umeitwa polisi of which nisingeongea kabla hujaitwa. Hizo siasa za kiwango cha chini mno.

Hapo kwenye Red Unamaanisha JF?tuweke copy ya huo ufafanuzi wako coz sikumbuki kuona huo ufafanuzi wako. hapo kwenye Blue Kiwango cha juu ni siasa unazozifanya wewe I gues :lock1:
 
kuna watu ni mahiri kwa utunzi wa hadithi kama hawa makamanda wa CHADEMA, haiingii akilini mtu unayeonana nae kila mara bado umwamndikie email, ambapo mnaweza onana mda wowote na kujadili,[/QUOTE

Hii imekaa vibaya.....View attachment 128491

Mmmh... hii kweli imekaa vibaya, kafikwa na nini tena huyu dogo. Mbona kawa hivyo!? Na yeye anakula MADABIDA ndo yamemfanya hivyo nini!? Duh..! pole zake.
 
Mkuu kama hayo unayoyasema ni kweli, inabidi uact faster kwani tayari 'umeshablow cover'..........

Ni rahisi sana kumtrace baba wa mtoto aliyefariki kwenye bomu la mkutano wa CDM Arusha...hata mimi nikitaka kulijua hilo naweza kulijuwa kwa muda mfupi tu (kama sikosei alifariki mtoto mmoja tu).......Hivyo kama hayo unayoyasema ni kweli (kwamba ulishiriki kwenye mipango hiyo haramu, na halafu unatamka vile vile kwamba ulipoteza mtoto) ni rahisi watu kukufuatilia na kukudhuru.....

Chukua tahadhari na ikiwezekana mwaga ushahidi mapema kabla hujadhurika !

Mwigulu wewe ni mtu mwenye nyadhifa na fedha katika nchi hii na ndio hata baada ya kumpoteza mwanangu nimeshindwa kujitokeza hadharani na kwenda kukushitaki kwani ninajua nikijaribu na mimi pia nitapoteza maisha yangu. Mipango yako dhidi ya mauaji ya soweto (bomu la soweto)ninajua fika hukulifanya kibinafsi kwani ulikuwa na maslai ya chama chako na msukumo wa nguvu kutoka kwa baadhi ya watu ambao sio waaminifu serekalini.

Ila elewa nguvu uliyokuwa nayo iko siku utaikosa na upande wa pili utakuwa na nguvu na hapo ndio itakuwa muda muafaka kwangu kulipiza kisasi.

Namuomba Mungu atupe maisha marefu ili nchi hii ije kushuuudia ukilipa uliyoyafanya.
 
Hapo kwenye Red Unamaanisha JF?tuweke copy ya huo ufafanuzi wako coz sikumbuki kuona huo ufafanuzi wako. hapo kwenye Blue Kiwango cha juu ni siasa unazozifanya wewe I gues :lock1:

Nimemuambia athibitishe ni lini alitoa ufafanuzi humu JF ? Na kwanini pia tangu ile thread ya kuomba ufafanuzi ianzishwe hakutoa ufafanuzi?
 
Mchawi mkubwa wewe, hebu sema wangapi umekwisha waua kabla ya mwanao.

Nashukuru sana kwa ulicho andika juu yangu, ila ipo siku utajua ukweli juu ya mwigulu na ccm unayoiabudu.
Ungekuja Arusha Ngarenaro ukaulizia Ole Laiz alikuwa ni nani ndani ya ccm watakuambia. Ila baada ya kuujua ukweli sasa ninajua atua ya kuichukua japo njia nilioipitia ya kumjua Mwigulu na ccm ni ngumu ila yote namwachia Mungu.
 
Nimemuambia athibitishe ni lini alitoa ufafanuzi humu JF ? Na kwanini pia tangu ile thread ya kuomba ufafanuzi ianzishwe hakutoa ufafanuzi?

Ben achana naye why now....baada ya Nchimbi kudundia utosi an not before? Dunia ni Duara ila wakati mwingine inaweza kuwa ya Mviringo!
 
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?

MAJIBU ya BEN SAANANE

siasa za kushambuliana mitandaoni ni za kishamba sana
tubadilike jaman
 
kuna watu ni mahiri kwa utunzi wa hadithi kama hawa makamanda wa CHADEMA, haiingii akilini mtu unayeonana nae kila mara bado umwamndikie email, ambapo mnaweza onana mda wowote na kujadili,[/QUOTE

Hii imekaa vibaya.....View attachment 128491

aliyeweka picha chafu apo anaharibu mada na lengo la mleta mada, tafadhali haitoe kuuheshimu mjadala....
 
Mwingulu wacha unafiki wako ,pia usiwafanye watanzania mazuzu kumbuka wanauelewa mkubwa kuliko wewe.

Soma alama za nyakati pia usilewe na hayo madaraka ukaona watu wote mazuzu, Mambo yote mnayofanya kwa siri sasa yapo hadharani na huyo Nchimbi wako ameshapigwa chini sasa najua mna mtandao mkubwa wa kufanya mambo mnayoyaona yanafaa kwa upande wenu

.Utafika wakati hao wananchi mnaowapelekeaga kofia, mashati na kanga kipindi cha uchaguzi mtawakimbia wenyewe kama unavyomkimbia Simba porini.

Kumbukeni Gaddafi yupo wapi leo hii, wacha siasa chafu wewe bado mdogo sana kiumri utafika mbali sana ukifanya siasa safi wala sio chafu unazofanya sasa. Jenga msingi imara kwenye siasa safi kwani hata Chadema watakukubali ukiwamfano wa kuigwa kwa wananchi wa Tanzania.

Tatizo unaongozwa na chama chenye watu wenye mikono michafu yenye damu za watu na wanaonuka damu za watu na wewe sasa unanuka damu za watu kwa kupanga mipango michafu, kutekeleza mipango michafu.

Sasa yote mnayopanga kwa siri itakuwa Hadharani na Bado mtaumbuka sana, Kwani Mungu ameamuwa kuweka mambo yote kweupe.
 
Mkifikia hatua mtu kama mwigulu mnampa uwaziri sasa hapo ni kwamba mnatutukana watanzania matusi ya akili si tu ya nguon.

Mwigulu hajawahi kuongea jambo lenye maslahi kwa mtanzania yeyote. Hana hoja, amejaa matusi sifaham malez yake alipopata au nin kilitokea baadaye.but ni aibu sana kwa mtu makin kujibishana na Mwigulu.

Akili yake yeye alisha istaafisha isifanye kazi tena, nahisi pia itakiwa imeparalyse kabisa. Mtu anayeweza kutema mpaka mate bungeni wakati mimi mzazi wangu alinikataza kutema mate hata nje chini pasipo sababu za msingi.

Huyu najiuliza wananchi wake nao wanasema wana mbunge? Sishangai kwanini nch hii haiendelei.

Mungu aturehemu kwakweli.
 
Mkuu roho inaniuma sana kwani nilishiriki kikao cha kukiujumu chadema nikijua namteketeza Lema na wana Chadema, ila cha ajabu nimempoteza mtoto wangu mpendwa.

Nilifanya kosa ila naapa kutorudia kosa, najua huko roho ya mwanangu ilipo inashuudia jinsi gani baba yake alivyoshirikiana na adui katika kukatisha maisha yake akiwa na umri mdogo kiasi kile. Naomba unisameee mwanangu baba yako nilifanya yote kwa sajili yako ili ule,usome,uvae vizuri kumbe ilikuwa kinyume badala yake makofi niliompigia Mwigulu kila mwisho wa sentensi yake kumbe nilikuwa nasogeza kifo karibu yako.
Nisameee mwanangu, Mwigulu naapa sitonyamaza kamwe.

Mmh ya kweli haya?
 
Back
Top Bottom