Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mkuu Ben, Hakuna marefu yasiokuwa na ncha.
Ngoja tusubiri uteuzi wa mkuuu wa nchi katika wizara ya mambo ya ndani itakuwaje. Na kama atatuwekea mtu sahiii basi tutatoa ushirikiano wa kutosha ili kufanikisha kukamatwa kwa watu walio husika katika mauuaji ya mabomu na utekaji ambayo mpaka sasa hatujapewa jawabu.

Nina uchungu sana kwani nimepoteza mtoto wangu katika bomu la soweto na mpaka sasa nina ushaidi usiopungua 80% Mwigulu kuhusika na kifo cha mwanangu.
Pole sana mkuu...
 
Ni vigumu sana kumtenganisha Mwigulu na umaaluni wa kisiasa unaoendelea, either ana bahati mbaya, au amekaanga mbuyu sasa inabidi atafune tu

sad almost all young politicians wanaishia palepale, egoism, myopia, stupidity, carelessness and thinking they are all that!!

acheni siasa mje kitaa tupige kazi, mnaharibu sana vijana

...well noted Mkuu
 
....Mkuu Usiogope Mungu yupo pamoja nawe... yaweke kwa maanufa ya vizazi vyetu vijavyo!!!

.....Leo hachomoki mtu hapa...tumechoka!!!!

Mkuu roho inaniuma sana kwani nilishiriki kikao cha kukiujumu chadema nikijua namteketeza Lema na wana Chadema, ila cha ajabu nimempoteza mtoto wangu mpendwa.

Nilifanya kosa ila naapa kutorudia kosa, najua huko roho ya mwanangu ilipo inashuudia jinsi gani baba yake alivyoshirikiana na adui katika kukatisha maisha yake akiwa na umri mdogo kiasi kile. Naomba unisameee mwanangu baba yako nilifanya yote kwa sajili yako ili ule,usome,uvae vizuri kumbe ilikuwa kinyume badala yake makofi niliompigia Mwigulu kila mwisho wa sentensi yake kumbe nilikuwa nasogeza kifo karibu yako.
Nisameee mwanangu, Mwigulu naapa sitonyamaza kamwe.
 
dah , huna haya eti mnawanaga wachaga kwa kuwaita wakamba....viongozi hovyooooooooooooooo, nchi sijui ikoje hiii
 
Haya sasa, hii ni mipango na hapa waheshimiwa walikuwa wakibadilishana mawazo juu ya tukio mojawapo la Soweto, Arusha. Sina uhakika kama ni 'law of nature' lakini mmoja wa hao ndio hivyo kesha step down! Mwigulu Ncimbi + Lukuvi.jpg
 
Mkuu roho inaniuma sana kwani nilishiriki kikao cha kukiujumu chadema nikijua namteketeza Lema na wana Chadema, ila cha ajabu nimempoteza mtoto wangu mpendwa.

Nilifanya kosa ila naapa kutorudia kosa, najua huko roho ya mwanangu ilipo inashuudia jinsi gani baba yake alivyoshirikiana na adui katika kukatisha maisha yake akiwa na umri mdogo kiasi kile. Naomba unisameee mwanangu baba yako nilifanya yote kwa sajili yako ili ule,usome,uvae vizuri kumbe ilikuwa kinyume badala yake makofi niliompigia Mwigulu kila mwisho wa sentensi yake kumbe nilikuwa nasogeza kifo karibu yako.
Nisameee mwanangu, Mwigulu naapa sitonyamaza kamwe.

Pole kwa yote ila kumbuka wema hauozi
 
Ni asubuhi moja, huku kukiwa na manyunyu ukiwa unatoa morning speech katika shule ya mazengo "kwa sasa chuo st.john" ukiwa kama hp.

Speech ilijaa uzalendo sio tu na shule bali taifa kwa ujumla, nikiwa kama kijana wa kidato cha pili haikuwa rahisi kuelewa maneno kama patriotism, desire, selfishness, tafsiri yake kwasasa ipo vizuri sana.

Na hasa ukiangalia historia yako, hasa kifamilia kweli wewe wa 1999 umekua hivi. 50% ni juhudi zako 50% ni fursa ambazo watu wengine waliziweka mpaka wewe umezikuta na sasa unadhamana lakini unayo yafanya unanikumbusha mwanafunzi wa yesu yuda eskariotI.

Trust me, you will leave to regret...you couldn't do what you family, education , and opportunity wanted you to do.

"whats comes around goes around"
1.jpg
 
Mwigulu Mungu yupo na atatetea wary wake tu nyie kwa vile ni wanasiasa msidhani ndo mmebeba kIla kitu. Bora mseme ukweli kuweni na siasa zenu Ila uzalendo ni wa muhimu sana.
 
Mwigulu Mungu yupo na atatetea watu wake tu nyie kwa vile ni wanasiasa msidhani ndo mmebeba kIla kitu. Bora mseme ukweli kuweni na siasa zenu Ila uzalendo ni wa muhimu sana.
 
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?

MAJIBU ya BEN SAANANE

Lakini hakuna kesi iso na mwenyewe, tupe wasifu wa elimuyo
 
Kuna wakati Najiuliza,Hivi wewe Mwigulu uko kwa ajili ya Waliokuchagua au uko kwa ajili ya Maslai Binafc,au kwa ajili ya Chama!?
Cjawahi kukusikia Bungeni ukitoa Mada igusayo jamii zaifi.ya Kuuponda na Kuusakama Upinzani,kiasi nashindwa kukuelewa,Unadhani nilipigwa na jua ili uende Kupambana na CDM?
 
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?

MAJIBU ya BEN SAANANE
Asante kwa kukiri kuwa uliwasiliana na nchimbi na zitto kabla hujazaliwa.
 
Mwigulu ana kuja na hoja za kichekechea, JF ina watu werevu, Ben amejipambanuwa vizuri na ww umezidi kujivuwa nguo, ni dhahiri hila zako tumezitambuwa..
polen wote milio patwa na dhuruba bale SOWETO.
r.i.p dr Mvungi.
 
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?

MAJIBU ya BEN SAANANE

اللّهـمَّ أَنْتَ رَبِّـي لا إلهَ إلاّ أَنْتَ ، خَلَقْتَنـي وَأَنا عَبْـدُك ، وَأَنا عَلـى عَهْـدِكَ وَوَعْـدِكَ ما اسْتَـطَعْـت ، أَعـوذُبِكَ مِنْ شَـرِّ ما صَنَـعْت ، أَبـوءُ لَـكَ بِنِعْـمَتِـكَ عَلَـيَّ وَأَبـوءُ بِذَنْـبي فَاغْفـِرْ لي فَإِنَّـهُ لا يَغْـفِرُ الذُّنـوبَ إِلاّ أَنْتَ .
‘Allaahumma Anta Rabiiy laa Ilaaha illa Anta Khalaqtaniy wa ana ‘Abduka wa ana ‘alaa ‘Ahdika wa Wa'dika mastatwa'tu, A'uudhu Bika min sharri maa Swana'tu, abu-u Laka Bini'matika ‘alayya wa abu-u bidhanbiy, Faghfir-liy fainnahu laa yaghfirudh-dhunuuba illa Anta'
Ee Allaah! Wewe ni Mola wangu, hapana mola Apasaye kuabudiwa kwa haki ila Wewe, Umeniumba mimi na mimi ni mja Wako, nami niko juu ya ahadi Yako, na agano Lako, kiasi cha uwezo wangu, najilinda Kwako kutokana na shari ya nilichokifanya, nakiri Kwako kwa Kunineemesha, na nakiri kwa madhambi yangu, basi nakuomba Unisamehe kwani hasamehe madhambi ila Wewe"

اللّهُـمَّ إِنِّـي ظَلَـمْتُ نَفْسـي ظُلْمـاً كَثـيراً وَلا يَغْـفِرُ الذُّنـوبَ إِلاّ أَنْت ، فَاغْـفِر لي مَغْـفِرَةً مِنْ عِنْـدِك وَارْحَمْـني، إِنَّكَ أَنْتَ الغَـفورُ الرَّحـيم
Allaahuuma inniy dhwalamtu nafsiy dhwulman-kathiyran wa laa yaghfirudh-dhunuuba illa Anta. Faghfir-liy maghfiratam-min ‘Indika War-Hamniy, Innaka Antal-Ghafuurur-Rahiym.
‘Ee Allaah hakika mimi nimejidhulumu nafsi yangu, dhulma kubwa, na hasamehe madhambi ila Wewe, basi nisamehe msamaha kutoka Kwako, na Unirehemu, hakika Wewe ni mwingi wa kusamehe, mwingi wa kurehemu.
 
Mkuu roho inaniuma sana kwani nilishiriki kikao cha kukiujumu chadema nikijua namteketeza Lema na wana Chadema, ila cha ajabu nimempoteza mtoto wangu mpendwa.

Nilifanya kosa ila naapa kutorudia kosa, najua huko roho ya mwanangu ilipo inashuudia jinsi gani baba yake alivyoshirikiana na adui katika kukatisha maisha yake akiwa na umri mdogo kiasi kile. Naomba unisameee mwanangu baba yako nilifanya yote kwa sajili yako ili ule,usome,uvae vizuri kumbe ilikuwa kinyume badala yake makofi niliompigia Mwigulu kila mwisho wa sentensi yake kumbe nilikuwa nasogeza kifo karibu yako.
Nisameee mwanangu, Mwigulu naapa sitonyamaza kamwe.

sad indeed...
 
Back
Top Bottom