Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Utetezi wa namna hii humtia zaidi matatani mtuhumiwa kuliko kumsaidia. aliyekwambia kuwa watu wanonana mara kwa mara hawaandikiani email ni nani? au ni uelewa wako mfinyu? kwa taarifa yako watu wa ofisi moja huwasiliana zaidi kwa email kuliko hata kutazamana usoni. Mfano ni mimi mwenyewe, kuna boss wangu ambaye tumekuwa tukiwasiliana kwa email zaidi ya kuonana uso kwa uso japo tupo ofisi moja. Jitambue kijana acha kutetea uovu tena kwa hoja zinazokudhalilisha.
kwa hii post yako unataka kusema si ruhusa watu kuonana mara kwa mara, mfano mbowe na slaa wakionana mara kwa mara ni kosa??
