Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

tulikuja bila vyeo, vitu nk na ipo siku tutaviacha Mungu atamhukumu mtu kwa kadri alivyofanya.any way mimi c mkereketwa wa vyama ila nawatahadhirisha kwamba Mungu anaona hata mambo yenu ya sirini alafu mtambue kuwa hukumu ya jambo ovu/baya ipo ingawaje inachelewa yaweza pita miaka but itatokea pamoja tunatumia ID feki but hata haya tuyayoandika hapa tutatoa hesaba kwa Mungu aliyetupo bahati ya kuishi fanyeni mema mtazawadiwa malipo huanza hapa duniani
 
Mwigulu wewe ni mtu mwenye nyadhifa na fedha katika nchi hii na ndio hata baada ya kumpoteza mwanangu nimeshindwa kujitokeza hadharani na kwenda kukushitaki kwani ninajua nikijaribu na mimi pia nitapoteza maisha yangu. Mipango yako dhidi ya mauaji ya soweto (bomu la soweto)ninajua fika hukulifanya kibinafsi kwani ulikuwa na maslai ya chama chako na msukumo wa nguvu kutoka kwa baadhi ya watu ambao sio waaminifu serekalini.

Ila elewa nguvu uliyokuwa nayo iko siku utaikosa na upande wa pili utakuwa na nguvu na hapo ndio itakuwa muda muafaka kwangu kulipiza kisasi.

Namuomba Mungu atupe maisha marefu ili nchi hii ije kushuuudia ukilipa uliyoyafanya.
 
Umekuja kujibu leo baada ya kuona nchimbi kamwaga,na bado
 
kwa hii post yako unataka kusema si ruhusa watu kuonana mara kwa mara, mfano mbowe na slaa wakionana mara kwa mara ni kosa??

Na wewe ndo akili yako ilipokufikisha kwenye hitimisho hilo!? pole sana. kweli kazi ipo hapa.
 
Na unaamini kwa dhati kabisa kuwa kwa maneno yako haya mnamsaidia Mwigulu katika kile anachokusudia wananchi wamuelewe..!? Dah.. hebu soma tena post yako kisha jitendee haki wewe na upeo wako ndugu.

awa jamaa wanazidi kuvuwa nguo bosi wao, ni dhahiri jamanii kwa sasa wanajuwa hila zao,
r.i.p dr Mvungi
poleni wote kwa janga la Soweto.
 
Statement hiyo imekuwa very popular nowadays.
 

Inatisha sana ndg yangu! Lakini Mungu yupo na malipo ni hapa duniani. Siku zao zinahesabika! Na mwisho wa ubaya ni AIBU.
 

Ndugu hebu weka wazi unachokiongelea ili nasi tujue, inaonekana kuna jambo wewe na rafiki yako Mwigulu mnalijua sisi hatulijui, hebt weka wazi nasi tufahamu.
 
....Mkuu huyu shetani lazima apande kizimbani!!!!

this is too much.....

Nani atampandisha kizimbani ikiwa Serikali niyao? Watu wa maGAMBA wameanza leo kulalamikiwa,,,,!! nambona hakuna kilichofanyika!!
 

Hapo kwenye Red Unamaanisha JF?tuweke copy ya huo ufafanuzi wako coz sikumbuki kuona huo ufafanuzi wako. hapo kwenye Blue Kiwango cha juu ni siasa unazozifanya wewe I gues :lock1:
 
 
Mkuu kama hayo unayoyasema ni kweli, inabidi uact faster kwani tayari 'umeshablow cover'..........

Ni rahisi sana kumtrace baba wa mtoto aliyefariki kwenye bomu la mkutano wa CDM Arusha...hata mimi nikitaka kulijua hilo naweza kulijuwa kwa muda mfupi tu (kama sikosei alifariki mtoto mmoja tu).......Hivyo kama hayo unayoyasema ni kweli (kwamba ulishiriki kwenye mipango hiyo haramu, na halafu unatamka vile vile kwamba ulipoteza mtoto) ni rahisi watu kukufuatilia na kukudhuru.....

Chukua tahadhari na ikiwezekana mwaga ushahidi mapema kabla hujadhurika !

 
Hapo kwenye Red Unamaanisha JF?tuweke copy ya huo ufafanuzi wako coz sikumbuki kuona huo ufafanuzi wako. hapo kwenye Blue Kiwango cha juu ni siasa unazozifanya wewe I gues :lock1:

Nimemuambia athibitishe ni lini alitoa ufafanuzi humu JF ? Na kwanini pia tangu ile thread ya kuomba ufafanuzi ianzishwe hakutoa ufafanuzi?
 
Mchawi mkubwa wewe, hebu sema wangapi umekwisha waua kabla ya mwanao.


Nashukuru sana kwa ulicho andika juu yangu, ila ipo siku utajua ukweli juu ya mwigulu na ccm unayoiabudu.
Ungekuja Arusha Ngarenaro ukaulizia Ole Laiz alikuwa ni nani ndani ya ccm watakuambia. Ila baada ya kuujua ukweli sasa ninajua atua ya kuichukua japo njia nilioipitia ya kumjua Mwigulu na ccm ni ngumu ila yote namwachia Mungu.
 
Nimemuambia athibitishe ni lini alitoa ufafanuzi humu JF ? Na kwanini pia tangu ile thread ya kuomba ufafanuzi ianzishwe hakutoa ufafanuzi?

Ben achana naye why now....baada ya Nchimbi kudundia utosi an not before? Dunia ni Duara ila wakati mwingine inaweza kuwa ya Mviringo!
 


siasa za kushambuliana mitandaoni ni za kishamba sana
tubadilike jaman
 
 
Mwingulu wacha unafiki wako ,pia usiwafanye watanzania mazuzu kumbuka wanauelewa mkubwa kuliko wewe.

Soma alama za nyakati pia usilewe na hayo madaraka ukaona watu wote mazuzu, Mambo yote mnayofanya kwa siri sasa yapo hadharani na huyo Nchimbi wako ameshapigwa chini sasa najua mna mtandao mkubwa wa kufanya mambo mnayoyaona yanafaa kwa upande wenu

.Utafika wakati hao wananchi mnaowapelekeaga kofia, mashati na kanga kipindi cha uchaguzi mtawakimbia wenyewe kama unavyomkimbia Simba porini.

Kumbukeni Gaddafi yupo wapi leo hii, wacha siasa chafu wewe bado mdogo sana kiumri utafika mbali sana ukifanya siasa safi wala sio chafu unazofanya sasa. Jenga msingi imara kwenye siasa safi kwani hata Chadema watakukubali ukiwamfano wa kuigwa kwa wananchi wa Tanzania.

Tatizo unaongozwa na chama chenye watu wenye mikono michafu yenye damu za watu na wanaonuka damu za watu na wewe sasa unanuka damu za watu kwa kupanga mipango michafu, kutekeleza mipango michafu.

Sasa yote mnayopanga kwa siri itakuwa Hadharani na Bado mtaumbuka sana, Kwani Mungu ameamuwa kuweka mambo yote kweupe.
 
Mkifikia hatua mtu kama mwigulu mnampa uwaziri sasa hapo ni kwamba mnatutukana watanzania matusi ya akili si tu ya nguon.

Mwigulu hajawahi kuongea jambo lenye maslahi kwa mtanzania yeyote. Hana hoja, amejaa matusi sifaham malez yake alipopata au nin kilitokea baadaye.but ni aibu sana kwa mtu makin kujibishana na Mwigulu.

Akili yake yeye alisha istaafisha isifanye kazi tena, nahisi pia itakiwa imeparalyse kabisa. Mtu anayeweza kutema mpaka mate bungeni wakati mimi mzazi wangu alinikataza kutema mate hata nje chini pasipo sababu za msingi.

Huyu najiuliza wananchi wake nao wanasema wana mbunge? Sishangai kwanini nch hii haiendelei.

Mungu aturehemu kwakweli.
 

Mmh ya kweli haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…