Kijana mwenzangu Mwigulu Nchemba, kesi iliyo polisi ni ya kuingilia mawasiliano ya wewe na Mh Nchimbi, [Mkuu Yericko Nyerere, mchumi nambari moja Mh Mwigulu Nchemba (MB) ameshindwa kutofautisha kati ya mashitaka ya kuingilia mawasiliano na mashitaka anayokana kuwa hajawahi kuwasiliana na Dr Nchimbi toka yeye Mwigulu azaliwe] ungeonekana unaakili timama kama ungeombq ufafanuzi toka polisi,
Kitendo cha kuja kujitetea hapa kuwa huna barua pepe ya aina hiyo na hujawahi kuwasiliana na Nchimbi ni cha kizandiki zaidi,
Ni uzandiki kwakuwa tangu Ben Saanane aombe ufafanuzi toka kwenu wawili hamkuja kujibu na mkakimbilia polisi,
Nini kinakusukuma sasa kuja kujitetea hapa?
Jamii itaujua tu ukweli wa ugaidi wako na hujuma yako kwa serikali ya Kikwete,
Sasa sisi watanzania wanyonge tunawataka muende Mahakamani ama mkichelewa sisi tufungulie kesi za mauaji ya watanzania Dr Mvungi na wengine.