Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Tupe uhondo..

....Mkuu kuna makombora yanarushwa hapa jamvini yanatuwa mfululizo hapa Lumumba!!!

...wemetaharuki ... ila kuna
kombora zito linatafuta uelekeo..ndo hivyo tena JF NO place to hide!!!!

...stay tuned hapa hapa
 

Angalau nimeelewa,,,! kila la kheri MKUU!
 

Kitendo cha Mh Mwigulu kujichanganya kwenye kujibu ama kuelezea muktadha uliopo mbele yake bila shaka inaashiria uwepo wa kitu kisicho cha kawaida kilichofanywa ama kinachofanywa na Mwigulu na Nchimbi maana haiwezekani mchumi nambari moja anayejinasibu ati anafanya masomo ya uzamivu ashindwe kutofautisha tuhuma za Ben na kauli yake inayochochea utata wa sakata hili.
 
kwa maelezo yako ni dhairi kabisa inaonyesha kuna kitu ndan yko ambacho kimeficha ukweli wa mambo! kwa siasa zako haufai kuwa kiongozi unaongozwa na miitikio ya mwili badala ya akili badilika mkubwa!
 

Pole sana....Naamini utakuwa umepata fundisho..
 
Kuna ndugu anaitwa Mkuu ya Kaya ameahidi kufunguka zaidi khs NCHEMBA na mipango miovu iliyofanyika ARUSHA tunasubiri kwa HAMU hiyo maneno Ila icje2 akafungwa mdomo na maNOTI! watu wanafanyia uBAYA wenzao utadhani wataishi MILELE!
 
....Mkuu kuna makombora yanarushwa hapa jamvini yanatuwa mfululizo hapa Lumumba!!!

...wemetaharuki ... ila kuna
kombora zito linatafuta uelekeo..ndo hivyo tena JF NO place to hide!!!!

...stay tuned hapa hapa

Sibanduki..
 
Hivi kuna deadlines za kukanusha enh? Kama siyo akili ndogo ni kitu gani.

Kwani watz hawawajui wauwaji? bomu la soweto,mauaji ya mwangosi na kesi fake za ugaidi wahusika wanajulikana! Mungu ni mwema sana ipo siku mawe yote yatafunuliwa! Waweua wengi kwa tamaa zao za kuendelea kutawala,OLE WAO HAO WAUAJI,SIKU ZAJA WATAANGUKA ANGUKO KUU WASIINUKE TENA! R.I.P DR.MVUNGI,MWANGOSI NA MAKAMANDA WOTE.
 
===>M h yangu macho na kweli mungu anipe uhai na mimi ili siku hiyo nishuhudie utakachokisema.
 
Mkuu wa kaya pole sana mtz mwenzetu!,,,Lakini kwanini umpeleke mwanao mkutanoni na huku ukijua kuna bomu?
 
Inashangaza sana kwa nini tuhuma kama zile nzito lakini Nchimbi na Mwigulu mkakaa kimya!
 
....Mkuu kuna makombora yanarushwa hapa jamvini yanatuwa mfululizo hapa Lumumba!!!

...wemetaharuki ... ila kuna
kombora zito linatafuta uelekeo..ndo hivyo tena JF NO place to hide!!!!

...stay tuned hapa hapa

From MKUU WA KAYA
 
Last edited by a moderator:
MKUU WA KAYA
===>Sasa hii ID FAKE ya nini? jiachie tu,na uzuri wewe ni mwanasiasa .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…