Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Watu waovu mara nyingi wanapenda sana kutumia viapo kama sehemu yao ya kujitetea. Nchemba alishawahi kutamka bungeni kuwa ushahidi wake atautolea mbinguni, leo anasema hajawahi kuwasiliana na Nchimbi tangu azaliwe. Hii ni aina gani ya utetezi, hata mtoto mdogo hawezi kutumia utetezi dhaifu kama huo katika kujenga hoja. Ipo siku utaikana hata familia kwa mambo ya kijinga na kutoweka sawa kumbukumbu za mambo unayotenda yawe mema ama mabaya.

Mara zote ccm na watawala wake wanajiaminisha kuwa Watanzania ni wajinga na katika kila jambo kwalo ni upepo tu na watalisahau. Hata hivyo siku watakapobaini kuwa kila jambo linawekwa kwenye kumbukumbu sijui watajitetea vipi
 

So Sad Indeed.Mkuu Mkuu wa Kaya pole sana futa Machozi songa mbele sababu huyu Mungu wetu wa Miaka hii huwa acheleweshagi kulipa Visasi wala kulaza viporo,fit for tat,nguzo na tumaini letu pekee wanyonge ni Mungu Mkuu. Hakuna watawala niliokuwa nawaogopa kwa ukatili kama Saddam Hussein na Gadaaf pamoja na watoto wao hasa watoto wa Saddaam but leo hii jeuri,viburi,nguvu,ukatili na fedha zao wapo wapi? Kwa kuwa imeandikwa kulipa Visasi si juu yetu Wanadamu,naamini wakati utafika voluntary Makatili na Manyang'au wa Utawala huu watakunywa Vikombe vyao vya Dhuluma,Maovu,Ukatili,Unyanyasaji,Matusi,Dharau zidi ya Watanzania Wanyonge
 
Mme wako atakuwa hana raha sababu una wivu sana nani domokaya...........nasema hivi sababu nilishawahi kuwa na demu mwenye tabia kama hizi.
 

Hata sisi wote ilituwia vigumu kuamini lakini baada ya Nchimbi kwenda kumshitaki Ben polisi kuwa ame hack email akaunti zao na polisi kumhoji Ben alitoa wapi Password, kwa nini tusiondoe shaka kwamba wahusika wana mikono yao kwenye mawasiliano hayo!??
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilishajiapisha ndani ya nafsi yangu hata kama ningeekewa panga shingoni siwezi kumwamini Nchemba,Mwigulu wewe unaroho ya kishetani wewe kama uliweza kutengeneza matukio ya kigaidi na kusingizia wenzako utashindwa hili la email?huna lolote wewe roho mbaya tu...
 
nyie ni wajinga sana, rahisi sana kudanganyika hamtumii akili ya kawaida ku reason mambo ya kawaida. acheni gongo

wewe ndie mjinga namba moja tena zuzu kabisa unajifanya hudanganyiki wakayi wewe ndio umedanganywa .
 
Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?

===>Kwa majibu haya nina wasiwasi vibaya sana na huyu mheshimiwa,
1---nani amekuuliza matumizi ya e-mail yako?
2---kwa nini unataka tukubali kuwa huna e-mail nyingine?
3---anajua kufungua e-mail mpya kunatumia muda gani na gharama gani?
4---kwa kazi za hatari kama hizi anaweza kutumia e-mail yake ya kwaida ie ya shughuli za kawaida?
 
Mwigulu
Kwa upande wa Nchimbi ile e mail ni yake na ndiyo anayo tumia kwa upande wako sijui .Ila kwa nini pia jambo kubwa kama hili lichukue muda mwingi hivyo hadi kuanza upelelezi leo? Tunapata mashaka sisi watanzania ambao tunategemea kulindwa na serikali yetu .
 

umefanya vizuri sana,,,hizi ndio gharama za harakati,,, usikate tamaa,,,kwani kiza kikizidi ndio jua lakaribia kuchomoza.
 
Mwenzio ameambiwa atapewa uwaziri wa mambo ya ndani sasa ndo anajitahidi kujisafisha kabla ili akipewa aonekane yupo gud si unajua anajifanya mzalendo halisi kale kanafiki
 

Haueleweki,, unaiamini email ila unasema maudhui yake ni ya uongo..LUMUMBA bado sana kuna single mnaweza kujieleza..
 
Nililiona lakini kutokana na kutokutumia akili wana cdm wakaendeleza matukano kama walivyozoea. Ngoja sheria ikamate mkondo wake.

we bibi lazima utakuwa mwanga...una roho mbaya sana.
 

samahani mkuu,hivi kumbe shetani nae huwa anaogopa eeh??!!dah ndo nimejua leo
 
Hapo ndg yangu Ben jiandae na mengi huyo lameckc una mjua eti "Ben look at you" anataka kuku SENKANDO huyo muuaji.
 
kwa majibu haya unaona jinsi ambavyo Mwigulu ni mshamba,sasa ushangae Zitto na usungura wake wote ana milikiwa na Nchemba
 
Mchawi mkubwa wewe, hebu sema wangapi umekwisha waua kabla ya mwanao.

Haya maneno yako yananiuma sana, zaidi kwa vile mimi ninakufahamu wewe binafsi. Buku saba ziskufanye upoteze utu na ubinadamu wako. Ingekuwa vizuri ukaacha hiyo ajira laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…