Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Heti huwa naongea na wenye phd ! Je huyu naye anajiita mwanasiasa ? (Naibu kat...) teeteetee
 
Hivi kwanini post kama hizi Lumumba Buku7 Fc hawaonekani.....? Nakama wakoinekana hawana hoja wanatukana na kuondoka....

Au ni kwasababu zinaukweli ndani yake....? Yupo wapi ZeMarcopolo

Mkuu Tedo wakipigika kabisa huwa wanalike na kukimbia kama alivyofanya ZeMarcopolo
 
Duuuh... Eti toka azaliwe khaaaa!... Inawezekanaje jamani?

Mwigulu malipo ni hapahapa duniani, we subir
 
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?

MAJIBU ya BEN SAANANE

nakuchukia sana wewe,si kwa sababu ni mwana ccm au unatokea singida lahasha,ni kwa sababu una mzaha sana na watanzania,wewe na Yule mfuga manywele alopokwa uwaziri,,,,,na mungu awalaani......nilishasema yule mfuga manywele alaaniwe,na sasa laana zimeanza kumuandama,amepokwa uwaziri na naamini atashtakiwa tu,,,,,,na naendelea kuomba alaaniwe Cover,,,,na bado naomba hivo,na wewe ulaaniwe,,,,,na Mungu anaskia utalaaniwa tu,,,mxiuuuuuuuu
 
Mwigulu ni baba wa uongo kama alivyo shetani. Sijawahi kumuamini na wala haitatokea siku nikamuamini huyu muuaji na mwongo kuliko ibilisi.
 
Aliyesema Siasa ni mchezo mchafu kweli kabisaaaaa. Yaani mtu halali mpaka awaze la kumwumiza mwenzie.
Pengine anayewaza mabaya kwa mwenzio na fisadi wa juu, mwuaji mkubwa, na shetani kaweka kambi kwake.

Siasa njema ni kutendea watu mema na kuwajali na wao wakupende..hiyo ndiyo siasa. Nioneni mimi, sina adui naangalia njia ya kuingia huko nakosa maana kunanuka porojo za Nani hii kaenda na mbunge Dubai. Zisizo na Mashiko..Puuuuuuuuuuuuuu
 
kuna watu ni mahiri kwa utunzi wa hadithi kama hawa makamanda wa CHADEMA, haiingii akilini mtu unayeonana nae kila mara bado umwamndikie email, ambapo mnaweza onana mda wowote na kujadili,

Hahahaha....akili nyingine hizi bana. Kama Zitto.

Zitto aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama chake nae alikuwa anamuandikia katibu mkuu wa chama chake barua.

Unashangaa email?!
Kwani hao ni mke na mume kwamba wapo kitandani kila siku so wataambiana tu mambo yao?!.

Mpaka sasa polisi wamechemka mbaya sana.
Kumuita Ben kumhoji kuhusu kuingilia mawasiliano ya Nchimbi ni uthibitisho kwamba emails zile ni za kweli....kwamba mawasiliano yaliingiliwa.
Kwa tafsiri rahisi tu....polisi wamethibitisha kile ambacho watu walikiwa wanahisi.
 
wewe uliyewahi kusema 'utapeleka ushahidi mbinguni' nani atakuamini?
 
kwa waliosoma ICT ni rahisi sana kuprove otherwise
kuna IP adress,codes nk ambazo zikitumika zitabainisha ukweli wa kilichoandikwa katika email na ulichokanusha
so Mwigulu u better watch out kwani dunia ya leo ni ya kiteknolonia zaidi na sio ya kuaminishwa kila tunaochoambiwa
bila kutafuta evidence
...Kuna procedure ya kuprove the authenticity of electronic communications...
yapo mambo kama information security ndani yake tutajua confidentiality, integrity and availability..
tutacheki pia hiyo emails uliandika wewe, eno gani,tarehe gani muda gani.ip adress ipi, ukaituma kwa nani saa ngapi,akaipokea saa ngapi,na receiver ni nani mwenye ip address gani,eneo gani,muda gani nk
watu wana keys na codes za kufungua mitandao sembuse wame hark mitandao ya FBI,NSA ya marekani watashindwa kuingia kwenye yahoo wakajua hizo communication zako? mbona easy to kujua Mwigulu?
lau kama huhusiki ya nini kuja JF kutaka huruma za wanaJF?
kwa nini usikae kimya tu wananchi tukajua ukweli???
 
Tatizo lako wewe mume wako hautoshi (haurdhiki)............namimi niikuwa na demu mwenye tabia kama zako nikamuacha!!!!!!!!!

Huu ndio uwezo wako kifikra? Remember ignorance is not a defence,your statements on me is wide off the mark,check and be sure of what you want to say.
 
Mme wako atakuwa hana raha sababu una wivu sana nani domokaya...........nasema hivi sababu nilishawahi kuwa na demu mwenye tabia kama hizi.

Je, wewe ni Mwigulu Nchemba? You sound like him. If not, why do you care? Nina wivu kwa kuwa Mwigulu alishiriki mpango wa kumuua Dr. Mvungi? Yaani wewe pia ni sehemu ya watu wanaomtetea Mwigulu na maCCM? No wonder wanaharibikiwa. Pathetic. Jukwaa hili limepoteza sifa sana kwa kuwa na wanachama wa aina yako.
 
Your Hon. Mwingulu Mcheemba, Pole nyingi na zikufikie ulipo. Wewe ulikuwa wapi tangu uzi huo utoke kwenye mtandao. Baada ya kutengeneza huo wavu wa kumkamata Ben ukaona kuwa umemaliza??
Mh. Mwingulu, mwogope Mungu. Huwezi kuja hapa na kutuambia kuwa ulihusika kwenye chochote ila jua kuwa Mungu anakuona. Ulimwagia watu tindi kali ukazunguka nao kila kona, umerusha na kuharibu watu kwa mabomu hujatosheka sasa upo kukamata watu na kuwaweka ndani.
Tunamwomba Mtukufu Rais akukumbuke na kukuweka nafasi ya Nchimbi ili utoe order moja kwa moja. Mkono wako utauma siku moja kwa kuelemewa.
Ni mawazo yangu tu, just brush it aside.
 
Back
Top Bottom