Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Mwigulu bwana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ben ni kijana muuaji mashtaka ya zzk kutaka kumuua hajawahi kuikanusha n ndio kinachojulikana
siasa hizi ndo tuzitarajie 2014 to 2015,nadhan kampen tutazifatilia kupitia mitandaoni,,,hata kupitia T.V ni hatari
Ben Saa Nane!
Beautiful girl of mine. Vipi siku ile pale Landmark ulienjoy?
Hivi kwanini post kama hizi Lumumba Buku7 Fc hawaonekani.....? Nakama wakoinekana hawana hoja wanatukana na kuondoka....
Au ni kwasababu zinaukweli ndani yake....? Yupo wapi ZeMarcopolo
Heti huwa naongea na wenye phd ! Je huyu naye anajiita mwanasiasa ? (Naibu kat...) teeteetee
ben ni kijana muuaji mashtaka ya zzk kutaka kumuua hajawahi kuikanusha n ndio kinachojulikana
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa
1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?
MAJIBU ya BEN SAANANE
Mwigulu ni baba wa uongo kama alivyo shetani. Sijawahi kumuamini na wala haitatokea siku nikamuamini huyu muuaji na mwongo kuliko ibilisi.
kuna watu ni mahiri kwa utunzi wa hadithi kama hawa makamanda wa CHADEMA, haiingii akilini mtu unayeonana nae kila mara bado umwamndikie email, ambapo mnaweza onana mda wowote na kujadili,
Tatizo lako wewe mume wako hautoshi (haurdhiki)............namimi niikuwa na demu mwenye tabia kama zako nikamuacha!!!!!!!!!
Mme wako atakuwa hana raha sababu una wivu sana nani domokaya...........nasema hivi sababu nilishawahi kuwa na demu mwenye tabia kama hizi.