Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Huu uzi mbona siuelewi au mpaka nianze page 1

Hebu wacha umbumbumbu wewe...Uzi unaeleweka kabisa....Mwigullu katoa utetezi wake na Kijana mkakamavu Ben katoa majibu yake ili kuleta mtiririko mzuri..

Sasa kama mpaka hapo hujaelewa hakika wewe utakuwa tahaira...
 

You're still in the threatening mode.Justice and truth will prevail.
 
Ujinga tu wa kina ben na makene tunawajua

Yani Bosi wako Mwigulu kuleta utetezi wa kukurupuka ambao mwisho wa siku umemuumbua ni Kazi ya Makene...

Hakika hao vijana machachari uliowataja watakuwa na kipaji maalumu cha kufanya watu wakurupuke na kuumbuka mchana kweupe....

Mwigulu kajivua nguo mchana kweupee sasa kila Mtanzania anamuelewa Mwigulu ni nani...!!
 
Nikiambiwa mwirugu kafa ntafurahi sana. Jamaa ni zaidi ya shetani.
 

Mkuu Ben nakupa salute mkuu wangu....Najivunia chama kuwa na mtu kama wewe....Majibu yako yamejaa hekima na busara tupu.....

Good job keep it up brother..
 
Last edited by a moderator:
amini nawaambia, ben and the group are all behind this.
inatakiwa akili kidogo tu kuuelewa mchezo....
baada ya kukamilisha kazi yao(kwa malengo wanaoyajua wao) ya ku-create fake IDs na kujitumia ujumbe, wakaamua kuzivujisha kwenye mitandao ili waone athari zake as planned.
walipigwa na butwaa kuona kwamba wahusika(naanisha majina yaliyotengenezewa IDs) hawababaiki then stering wa movie BEN SAA8 akaamua kuwatumia sms ili kuwa-provoke.
hata mpelelezi wa kiwango cha chini kabisa atamuhusisha moja kwa moja Ben na huu upuuzi, alishindwa kuvumilia matokeo Hasi ya mpango wao akaamua kuji-expose blindly kwa kujifanya ana act smart kwa kuwatumia hao akina nchemba email.
personally, i can penetrate in to any computer, website and admistrated system any time at my will. apart from US EMBASS and WFP systems which are well protected, the rest of the systems,computers and websites in tanzania are more than 79% vulnarable to attacks and penetration.
ni rahisi ku-trace route flow ya information kutoka kwenye computer yoyote mpaka destination point huku trace routing ikionyesha IP ADRESSES za kila computer na majina ya computer husika.
na anayejidanganya kuwa eti hao wataalamu hakuna ndani ya jeshi la polisi!! aende polisi makao makuu akaulizie kichwa kimoja adimu kinachojulikana kwa jina la ADILI,,
Wajinga nyie watoto, tuko tayari tupunguze shughuli zetu za ujenzi wa taifa ili tupate muda wa ku-deal na nyie,,,,,,
we will never leave our country to pathetic DOGS
 

Hakika unajisumbua sana....Na mwisho wa siku utaujua ukweli.....Kama Mwigullu unaye mtetea anaubavu aje hapa atoe ufafanuzi...

Kwanini kaleta mada na kutokomea msituni....? Kama unaoubavu pandisha uzi mpya ili tuchangie sio unaleta porojo hapa..
 

Wow!

This is great! For sure nimeamua kuwasaidia jeshi la polisi kwa kuwapa Link ya hii thread.

Mchango huu ni wa muhimu sana kurahisisha hili sakata.

Kumbe tuna vipaji vinapotea bure tu.

Tupo kwenye right track so far.Thanks alot!
 
wewe kila kitu unachoambiwa unameza tu kama dodoki? una ushahidi wa mambo hayo unayoongea? tumia akili usiwe unameza kila uzushi unaousikia

Pimbi wewe...kama ni uzushi mbona hukuwapeleka mahakamani?We si ulidai kutumiwa sms na kina Mnyika?yaliishia wapi?we jamaa lishamba sana
 
Vipi kuhusu mwigulu kutoa ushahidi Mbinguni. Iliishia wapi? Leo mnkuja hapa mnamuamini kwa huu utetezi rahisi. Huyu mtu ni mdogo wake na shetani.

Baada lile sakata la Rwakatale huyu mwigulu simwamini tena hata angetoa chozi la damu
"Kumezuka vijana ndani ya chama chetu ambao kazi yao kubwa ni kutengeneza na kusema uongo kwa malengo wanayojua wao" ZZK
 
wewe kila kitu unachoambiwa unameza tu kama dodoki? una ushahidi wa mambo hayo unayoongea? tumia akili usiwe unameza kila uzushi unaousikia
Mkuu hongera kwa kusoma PhD. Naamini utakapomaliza utakuwa tofauti na huyu Mwigulu Nchemba wa sasa. By the way umespecialize kwenye kitu gani?
 
Last edited by a moderator:
M. Nchemba amezoea kubebwa na Spika bungeni. Amedhalilisha sana bunge letu hadi kutema mate ndani ya jengo la kisasa la bunge,bila kukemewa. JF naye anasubiri abebwe,hana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya matusi. Amekimbia thread aliyoanzisha mwenyewe. Hapa JF unakutana na bunge huru,komaa tetea misimamo yako we mtema mate ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…