Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe


Nenda kwenye site ya bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar unapata details za wabunge wote na viongozi wa serikali kuu.
Mtu kuwa na no. yangu ya simu ni kosa??
Otherwise unawasiliana na misukule.
Div.5 ni shiiida
 
Ni nani atakayemwamini Mwigulu (Lameck)?MTU anayeapa kwa mbingu ili hali analosema anajua ni uongo.?suala la Lameck ni gumu nil a kiroho zaidi!hebu viongozi wa kiroho wamsaidie.Ninahisi kuna roho zinamwendesha na hajui haswa ya uongo.Mungu akurehemu siasa sioMungu kaka.
 

unavyoongea kwa msisitizo kama vile una hakika

utabaki kuongea tu
 
Hii inadhihirisha kuwa Ben Saanane kazi yake kubwa ni kupika na kusambaza sumu kwenye jamii.

Sishangai pia aliandikwa humu kuwa anabeba sumu. Kila mahali kwenye fitna mbaya mbaya na yeye jina lake halikosi.

Huyu kijana ni zaidi ya janga kwa Taifa.

Nawaomba wale wenye jukumu wamtazame kwa macho mawili, wasimuonee haya hata kidogo.
 
UKO SAWA KABISA.apandacho atavuna Mungu yupo atamhukumu tu!
 

Hahaha Utanivunja mbavu mkuu.Investigative questions ! ! ! Haha ha ,Kweli tumejaliwa vipaji vya upelelezi.Gosshhhh!
 

kwa nini usianzishe gazeti na kutunga hadithi, utauza sana
 
Wewe umeandika hivi:


"SOON TUTAKUJA SEGEREA KUKULETEA CHAKULA"............

Mwigulu aliandika hivi:
" Ben look at you"

Mkuu Ben Saanane kwa kauli hizo hapo juu kuwa mwangalifu sana...Ni kauli za hatari.....Tumeshajua mipango yenu yakumdhuru Ben...Shetani amejifunua..
 
Mkuu CHAMVIGA
Huyo mganga njaa Ben Saanane sio tu mpuuzi ni hovyo kabisa waulize waliosoma naye watakuambia hana maana hata chembe! mtu anayetumika kama toilet paper ana maana gani katika jamii?

Wewe unamaana yoyote katika jamii...? Kama unaubavu njoo na jina lako kamili hapa....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu CHAMVIGA
Huyo mganga njaa Ben Saanane sio tu mpuuzi ni hovyo kabisa waulize waliosoma naye watakuambia hana maana hata chembe! mtu anayetumika kama toilet paper ana maana gani katika jamii?

kiukweli bongo za vijana wengi wa ccm zina matundu asee..

Hapo juu,
Hao wenzake na ben ndo wamekwambia anatumika kama toilet paper au we ndo unasema? Pili unasema tukaulize wenzake, unadhani tunawajua.. Weka mawasiliano yao ili tuwaulize sio kuleta porojo hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu CHAMVIGA
Huyo mganga njaa Ben Saanane sio tu mpuuzi ni hovyo kabisa waulize waliosoma naye watakuambia hana maana hata chembe! mtu anayetumika kama toilet paper ana maana gani katika jamii?

Chama,

Kwan Jamaa kasomea wapi??

Nina cheka sana kila napomuona huyu jamaa na shoga yake yericko
 
Ahaaa haaa kudaadekii!!!! kamanda hapa shule imetulia kichwani sina wasiwasi wa maisha kama huyo mganga njaa wenu Ben Saanane!

Unadhani wenye shule huwa wanajisifia....Wenye shule huwa tunawaona hapa jamvini kwa hoja zao za nguvu.....

Unaleta porojo halafu unasema eti una shule....Huu ni uzezeta wa hali ya juu....Pangua hoja tujue kweli umeenda shule na kuelimika...Maneno meengi kumbe vapour..
 
Last edited by a moderator:

Kamanda hapo hakuna porojo huyo mgangaa njaa wenu tunamjua vizuri sana hilo ni toilet paper yenye kinyesi haana maana yoyote!
 

Vipi tunasikia vijana wenu wamekamatwa na mabomu huko Tanga tayari kwa ajili ya kulipua makanisa leo na kesho....

Angalia ugaidi wenu wewe na MS utawagarimu...
 
Kamanda hapo hakuna porojo huyo mgangaa njaa wenu tunamjua vizuri sana hilo ni toilet paper yenye kinyesi haana maana yoyote!

Hoja ni Mwigulu kumua Dr. Mvungi... Turudi kwenye hoja mkuu
 

wewe mganga njaa tedo; Chama shule ya nguvu ipo kama huamini kama upo US sema nikupe mwaliko wa graduation sijasoma shule za uchochoroni India! Kudaadeki najiaminisha na ninachosema sina wasiwasi hata kidogo siishi kwa kupiga kwa Mwigulu Nchemba wala Nape Nnauye; huyo kamanda wako yupo kihasahasara maisha yake mgogoro!
 
Last edited by a moderator:
Vipi tunasikia vijana wenu wamekamatwa na mabomu huko Tanga tayari kwa ajili ya kulipua makina leo na kesho....

Angalia ugaidi wenu wewe na MS utawagarimu...

Achana na huyo ni bangi zake zinamsumbua... Maana amekili mwenyewe kuwa huwa anatumia bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…