Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kamanda hapo hakuna porojo huyo mgangaa njaa wenu tunamjua vizuri sana hilo ni toilet paper yenye kinyesi haana maana yoyote!
Chama,
Kwan Jamaa kasomea wapi??
Nina cheka sana kila napomuona huyu jamaa na shoga yake yericko
Vipi tunasikia vijana wenu wamekamatwa na mabomu huko Tanga tayari kwa ajili ya kulipua makina leo na kesho....
Angalia ugaidi wenu wewe na MS utawagarimu...
Umebaki na porojo tuu huna hoja wewe....Hapo ndo mwisho wako wa kufikiri..
Mkuu chamaJamaa kasomea India vile vyuo vya uchochoroni mtu amekula dengu na mbaazi karibu miaka 3 akili yake lazima iwe finyu; na hasira imeongezeka zaidi baada ya kukosa kazi serikalini!
wewe mganga njaa Ben Saanane; elimu usiyoitumia ina manufaa gani? ni sawa kuwa na jembe na kuliweka chini ya uvungu wa kitanda; wewe ni hasira za maisha vijana wa kitanzania tunaelewa CCM ni kitu gani na imetufanyia nini katika maisha yetu; hivi kama sio serikali ya CCM ungesoma ? unegekuwa mpiga au muedesha bodaboda; nadhani umesahau ulivyokuwa unajidi India kaa chini uyakumbuke vizuri; leo unaadhirika mjini kwasababu elimu uliyonayo haikusaidii kimaisha wala kifikra matokeo yake ni hayo ya kutumiwa na kuvuliwa kama chupi. elimu uliyo nayo mwajiri mkubwa ni serikali ya JMT na huo ndio ulikuwa mtego wako; hivi kwa akili yako kituko kama wewe uajiriwe mambo ya nje ili iweje? Endelea kutumiwa na hao mabwana zako hapo Chadema na ukweli hawakutaki ila unajipendekeza; wewe ni nyoka mwenye sumu kali ya unafiki; hivi unafikiri Mbowe na Heche hawalijui hilo??? walitaka kukutumia kumamliza Zitto kazi ilikushinda ulichobaki ni kujipendekeza humu Jamii Forum ili uonekane ni mtetezi wa Mbowe; wewe ni mganga njaaa huna lolote la kuniambia maisha mgogoro ndio maana unajikombakomba!!! sasa unatumika kutengeneza email za uongo za viongozi angalia sana utaishia pabaya hivi hizi elimu za kihindi hazikundishi madhara ya athari ya kutengeneza vitu vya uongo na kuviweka kwenye mitandao??
wewe mganga njaa Chama shule ya nguvu ipo kama huamini kama upo US sema nikupe mwaliko wa graduation sijasoma shule za uchochoroni India! Kudaadeki najiaminisha na ninachosema sina wasiwasi hata kidogo
Jamaa kasomea India vile vyuo vya uchochoroni mtu amekula dengu na mbaazi karibu miaka 3 akili yake lazima iwe finyu; na hasira imeongezeka zaidi baada ya kukosa kazi serikalini!
Achana na huyo ni bangi zake zinamsumbua... Maana amekili mwenyewe kuwa huwa anatumia bangi
-Bachelor of Business Administration(Hons)-First Class Honours
-M.A . Economics-Finance. -First Class
-M.A . International Relations-Second Class Upper
-Sponsored by Tanzanian Government
-Sponsored by Allahabad in collaboration with Glasgow University-Scotland.
KAZI:
ICICI Bank- Allahabad
Reliance Company
Alpha Group-General Manager
ANSI TIMBER-Consultant
Serikali ilinitega sio? Serikali ndio mwajiri pekee?
Sina tabia ya kupiga magoti kama mlivyotegemea.We"ll defeat you. Ni lazima tuamue hatima ya taifa letu
Usinitishe na kusomeshwa na serikali.Ni kodi ya watanzania na bado tunadai haki ya walionyimwa fursa ya kusoma
Sitakua upande mbaya wa historia ya wasomi wanaolihujumu taifa na vizazi vijavyo.Naungana na wasomi wazalendo,wakulima na wafanyakazi pamoja na walionyimwa fursa ya elimu bora kuutafuta ukombozi wa pili.Sitarudi nyuma.
Maneno ya kipuuzi kama uliyoandika hapo juu hayatanizuia katika mapambano haya.
Nilishinda katika mapambano nje ya Ardhi ya Tanzania ije iwe hapa ndani ya ardhi yetu.Never,Labda kama hunijui vizuri kwa sababu tunajadiliana JF tu.
Mungu akusamehe .Just do whatever you're doing for funny.
Hoja ni Mwigulu kumua Dr. Mvungi... Turudi kwenye hoja mkuu
Jamaa kasomea India vile vyuo vya uchochoroni mtu amekula dengu na mbaazi karibu miaka 3 akili yake lazima iwe finyu; na hasira imeongezeka zaidi baada ya kukosa kazi serikalini! jamaa yake Yericko Nyerere alijitutumua eti kasoma China wakati hata cheti cha VETA hana hao ni waganga njaa wakubwa hapo mjini!
Inasikitisha sana kama kweli wewe ndo unajiita msomi.....Hivi kwani hujui unaweza ukasoma ila usielimike.....?
Hayo yote sijui US na bla bla bla kibao sio kitu...Nimekwambia ili tujue usomi wako pangua hoja hapa jukwaani kweli tuseme wewe ni msomi na UMEELIMIKA......
Hata Le Mutuz nae pia kasoma ila nikama tahaira flani hivi.......Sasa wewe hoja ineletwa mezani badala ya kujadili unaleta porojo..
Jamaa kasomea India vile vyuo vya uchochoroni mtu amekula dengu na mbaazi karibu miaka 3 akili yake lazima iwe finyu; na hasira imeongezeka zaidi baada ya kukosa kazi serikalini! jamaa yake Yericko Nyerere alijitutumua eti kasoma China wakati hata cheti cha VETA hana hao ni waganga njaa wakubwa hapo mjini!
Ha ha ha!
Ona unavyoivua serikali yako nguo hapa.
Serikali ya Tanzania iliyonitafutia Chuo kikuu nje kupitia ubalozi wa Tanzania Ne Delh inatakiwa kushtakiwa kwa kutafuta vyuo vya Uchochoroni na kunilipia zaidi ya Milioni 12 kwa mwaka
Kodi ya watanzania ilitumika vibaya na hii ndio sababu ya ziada ya kuwatoa madarakani sambamba na kuwafungulia kesi ya madai kwa kunipotezea muda.Unasemaje?Tumia akili kabla hujapost humu
Nawe unajiita msomi?Ptuuu!
Ha ha ha!
Ona unavyoivua serikali yako nguo hapa.
Serikali ya Tanzania iliyonitafutia Chuo kikuu nje kupitia ubalozi wa Tanzania Ne Delh inatakiwa kushtakiwa kwa kutafuta vyuo vya Uchochoroni na kunilipia zaidi ya Milioni 12 kwa mwaka
Kodi ya watanzania ilitumika vibaya na hii ndio sababu ya ziada ya kuwatoa madarakani sambamba na kuwafungulia kesi ya madai kwa kunipotezea muda.Unasemaje?Tumia akili kabla hujapost humu
Nawe unajiita msomi?Ptuuu!
Ha ha ha
NDIO KWA MAANA Dr.W.Slaa ana mtumia huyu jamaa kama kikaragosi chake aisee,,
DENGU MBAYA SANA,MIAKA YOTE HIYO MTU ANASHINDIA DENGU TUH??
Hatari sana
Hizi akili zenu za kutumiwa kama toilet paper wakati mwingine jaribuni kuzitumia Mwigulu Nchemba amuue Dr. Mvungi ili iweje? Hebu tufafanulie ni jambo gani kubwa ambalo Mwigulu Nchemba atanufaika nalo?