wewe mganga njaa
Ben Saanane; elimu usiyoitumia ina manufaa gani? ni sawa kuwa na jembe na kuliweka chini ya uvungu wa kitanda; wewe ni hasira za maisha vijana wa kitanzania tunaelewa CCM ni kitu gani na imetufanyia nini katika maisha yetu; hivi kama sio serikali ya CCM ungesoma ? unegekuwa mpiga au muedesha bodaboda; nadhani umesahau ulivyokuwa unajidi India kaa chini uyakumbuke vizuri; leo unaadhirika mjini kwasababu elimu uliyonayo haikusaidii kimaisha wala kifikra matokeo yake ni hayo ya kutumiwa na kuvuliwa kama chupi. elimu uliyo nayo mwajiri mkubwa ni serikali ya JMT na huo ndio ulikuwa mtego wako; hivi kwa akili yako kituko kama wewe uajiriwe mambo ya nje ili iweje? Endelea kutumiwa na hao mabwana zako hapo Chadema na ukweli hawakutaki ila unajipendekeza; wewe ni nyoka mwenye sumu kali ya unafiki; hivi unafikiri Mbowe na Heche hawalijui hilo??? walitaka kukutumia kumamliza
Zitto kazi ilikushinda ulichobaki ni kujipendekeza humu Jamii Forum ili uonekane ni mtetezi wa Mbowe; wewe ni mganga njaaa huna lolote la kuniambia maisha mgogoro ndio maana unajikombakomba!!! sasa unatumika kutengeneza email za uongo za viongozi angalia sana utaishia pabaya hivi hizi elimu za kihindi hazikundishi madhara ya athari ya kutengeneza vitu vya uongo na kuviweka kwenye mitandao??
-Bachelor of Business Administration(Hons)-First Class Honours
-M.A . Economics-Finance. -First Class
-M.A . International Relations-Second Class Upper
-Sponsored by Tanzanian Government
-Sponsored by Allahabad in collaboration with Glasgow University-Scotland.
KAZI:
ICICI Bank- Allahabad
Reliance Company
Alpha Group-General Manager
ANSI TIMBER-Consultant
Serikali ilinitega sio? Serikali ndio mwajiri pekee?
Sina tabia ya kupiga magoti kama mlivyotegemea.We"ll defeat you. Ni lazima tuamue hatima ya taifa letu
Usinitishe na kusomeshwa na serikali.Ni kodi ya watanzania na bado tunadai haki ya walionyimwa fursa ya kusoma
Sitakua upande mbaya wa historia ya wasomi wanaolihujumu taifa na vizazi vijavyo.Naungana na wasomi wazalendo,wakulima na wafanyakazi pamoja na walionyimwa fursa ya elimu bora kuutafuta ukombozi wa pili.Sitarudi nyuma.
Maneno ya kipuuzi kama uliyoandika hapo juu hayatanizuia katika mapambano haya.
Nilishinda katika mapambano nje ya Ardhi ya Tanzania ije iwe hapa ndani ya ardhi yetu.Never,Labda kama hunijui vizuri kwa sababu tunajadiliana JF tu.
Mungu akusamehe .Just do whatever you're doing for funny.
By the way,Weka CV yako kwa ufupi kama wewe ni jasiri ulinganishe na ya kwangu pamoja na hoja zetu tuone .Acha ujinga na usirudie tena maana inferiority complex itakua inakusumbua sana humu na kutukana watu usiowajua vizuri
Leta matokeo yako ya Advance kama ulishawahi kuhitimu.
Elimu ya darasani inatakiwa kukusaidia kufikiri kwenye uchambuzi critically na sio matusi.Umeonyesha kiwango cha juu cha ulimbukeni.