Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe


Wa Lumumba aka buku severn msiposimamisha magorofa mwaka huu basi mtakuwa watumiaji wabaya hizo book seven, maana wako busy usiku na mchana pengine ndiyo ajira walizopata.
 


""
Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " >
To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN
 


Duh, hivi ndio vile viwanda vya uongo.

Ilipoletwa hii kwa mara ya kwanza JF, nilisema "hata mtoto wa miaka 10" ataelewa kuwa huu ni uongo.

Wenyewe mnaona kitu cha maana? mnanchekesha!
 
Wa Lumumba aka buku severn msiposimamisha magorofa mwaka huu basi mtakuwa watumiaji wabaya hizo book seven, maana wako busy usiku na mchana pengine ndiyo ajira walizopata.

Mtasema sana, vipi? mambo yanageuka?

Babu anaona gharama kuwalipa viroba, sasa ni gongo kwa kwenda mbele. Jitayarishe.
 
CCM ya Kina Nyerere,Kawawa,Salim A Salim,Sokoine nk ilikuwa imejaa watu wenye busara na maadili sana,ila hii CCM iliyowapa nguvu Kina Mwigulu imeoza na inanuka na ni CHAKAVU,nadhani hawa watu wanatakiwa kubadilishwa kiwekwe chama kingine madarakani ili wajue kwamba hakuna aliye juu ya sheria,na CCM haiwatendei wema waasisi wake kwa kuwaachia watu Kama huyu jamaa Muuaji Mwigulu Nchemba nafasi Kama aliyonayo,alifaa kuwa mbunge wa kawaida sana wa kuongelea jimbo lake tu.
 
[/SIZE]
Duh, hivi ndio vile viwanda vya uongo.

Ilipoletwa hii kwa mara ya kwanza JF, nilisema "hata mtoto wa miaka 10" ataelewa kuwa huu ni uongo.

Wenyewe mnaona kitu cha maana? mnanchekesha!

Kwanza we labda ulikuwa mbeba viroba vya Nchimbi ndio maana unashinda humu kumtetea kwa nguvu zote. Kwanza humji vizuri, uniulize mie ninayemfahamu hata babake ambaye siku za nyuma alikuwa mbunge wa songea. Roho mbaya kama babake, nilishaandika habari hapa jinsi babake alivyokuwa na uroho wa kutaka kunyang'anya mali za vijana walioendelezwa na kanisa na kwa kutishia hata akamfunga padre aliyekuwa mlezi wa vijana hao ndani na kisha viongozi wa mkoa wakamfungua kwa vile walijua ni wivu wa kutaka kuchupa asipopanda. Mtoto wake Nchimbi Emauel naye yuko vile vile.

Ngojeni yuko nje ya offici Kikwete amemshika shati na kumvutia nje utaona mengi yanavyofumuliwa ambayo alikuwa anayaficha.
 
Haijawahi kutokea Ben akaanzisha au akasema kitu mwisho wa siku kisidhihiri kweli rejea kina Shonza na Mwampamba Mwigulu atachemka tu hapa na kukurupuka kwake.
 



mh. mwigulu usinichekeshe! hivi kweli pamoja na majukumu yote ya kichama na ubunge uliyonayo bado unapoteza muda wa kujibishana na hivi VICHINDA humu mtandaoni?!!! kwa ushauri tu ni kwamba hao jamaa, km huyo saanane (na wapo wengine wengi) wameandaliwa na wanawezeshwa vizuri kabisa kwa kazi hiyo tu ya kuzusha hili na lile au kubuni hiki na kile. litakuwa jambo la busara kwako kuwatupia kapuni kule na ujikite kwny majukumu uliyonayo kisha wakitupia upuuzi wowote humu basi we unawajibu kwa kuyaweka mafanikio ulioyapata km vile wanachama wapya mliyovuna n.k. lkn k namna hii utaumiza kichwa tu sababu kila siku wanacreate kitu kipya, hv hapo tayari wameshayabuni mengine kibao, likichuja hili wanaweka hili ili wakupotezee timing! piga kazi mkuu, 2015 tunataka asilimia 70+ na si ile 61 ingawa ilikuwa kubwa mno ukilinganisha na sijui 27 au 28 vile.
 
kuna watu ni mahiri kwa utunzi wa hadithi kama hawa makamanda wa CHADEMA, haiingii akilini mtu unayeonana nae kila mara bado umwamndikie email, ambapo mnaweza onana mda wowote na kujadili,

Wewe wa ajabu kweli.kwani hawa ni wanandoa mpaka waonane wakati wote?
 
Mtasema sana, vipi? mambo yanageuka?

Babu anaona gharama kuwalipa viroba, sasa ni gongo kwa kwenda mbele. Jitayarishe.
Andika maelezo yanayoonyesha uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja! Mi nachoshwa na Maneno ya taarabu.

Kila wakati gongo gongo gongo, hakuna jingine?
 

Kwa nini unamfundisha mtu mzima kazi za kufanya? Wee ni mgeni ndani ya JF. Meseji hii ulistahili uitume kwake tu maana kwa wengine Haina matumizi. Hapa lete hoja. Jibizana na mtu kwa hoja.

Jaribu pia kujifunza uandikaji. Weka aya ili msomaji aweze kufuatilia kwa urahisi. Bado kuna mengi ya kujifunza usiwe na haraka ya kuchangia baada tu ya kujiunga, hata kama unalipwa.

JINDUNGA
Join Date : 22nd December 2013
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received 1
Likes Given 1
 
And then unakuwa kibaraka wa Dr Slaa na Mchumba wake kuja kuwa msemaji wao??

You are nobody but A HOUSE NEGRO...!!
THE BIG SHOW vipi kuhusu gesi ya Mtwara? Nikikumbuka posts zako wakati unapambana kupata haki ya wanakusini kutokana na gesi,sikutegemea kama utabadilika hivi. Mmeshapata mnachokitaka? Au umeamua kusaliti jamii yako baada ya wewe kutupiwa fupa? Sawa umeamua kubadilika,matusi ya nini badala ya kujenga hoja?Bado naamini wewe ni kati ya wastaarabu.
 

Mkuu leo kubali tu umezidiwa kwa hoja,unaonaje ukipumzika kwa muda ukaupa muda ubongo wako kutulia?
 
Last edited by a moderator:
Hamis Mtandu rudisha pesa za mama wa Kiholanzi ulizo mtapeli na kukimbilia US....

Cc: chama
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu Nchemba na Nchimbi najisikiaje kusherekea sikukuu ya xmass na damu za mauaji zikiwa mikononi mwenu na kwenye nyuso zenu?
 
Last edited by a moderator:

Yaan wewe ni mjinga na mpu.mbvu kabisa,unaona serikali kukusomesha ndio kete ya kuitetea.Je,akina Prof.Lipumba walisomeshwa na nani kama sio serikali? Huu ni ushamba na unaonesha ni jinc gani ulivyo mzembe kufikiri. Kumbe wewe serikali inaweza hata kukfnyia lolote kisa tu imekusomesha? Wajinga kama wew ndio bado mko ccm.
 
mimi naamini hayo mawasiliano ni ya kweli na yaliingiliwa,mm siwezi kukuamini tena Nchemba baada ya kuhindwa kutoa ushahidi mbinguni dhidi ya Lwakàtare na cdm
NB ni muhimu chadema kutumia njia zozote ili kulinda uhai wake!
 

natamani angekuwa ni wazazi wake au yeye mwenyewe aliyebakwa kisha kuingiziwa chupa sehemu za siri, au kugongewa msumari 6" kichwani mpaka kufa labda akili ingekaa sawa..
 

Ningekua mlamba viatu au mtu wa kuburuzwa ningekua CCM leo hii.Natumia taaluma yangu ipasavyo na imenisaidia katika umri mdogo tofauti na wewe mtu mzima mwenye familia unashinda mitandaoni kutukana watu halafu unajidai kuwa una familia.Huna hata basic qualifications za kuwa mzazi.Hata kama elimu ya darasani hauna lakini pia common sense na busara zingekuongoza jinsi ya kujadiliana on public forums.Unaidhalilisha familia yako.

Kwa kukusaidia,Sitajadiliana na wewe zaidi ya kukuelimisha hapa.Asubuhi njema na isalimie familia na uwe mkweli uiombe radhi kwa kuja kuidhalilisha kiasi hicho humu.

Post zako zilizopita ni aibu kwa mtu mwenye family ambayo ni decent.Kuibadili taswira ya Jamii ni lazima tuanzie na malezi kwenye family Level.Sasa kwa post zako hizi hazionyeshi dalili nzuri na zinatoa taswira nzima ya family na waliokuzunguka.Jiheshimu na omba radhi familia yako kama unaiheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…