Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

wmejipanga ndio wakuja kukanusha

 
Guys msihangaike kujibizana na majina haya coz hizi ni fake ID za nchemba mwenyewe mshenzi ni hatari sana huyu anajidai anajua kucheza na mtandao kumbe. Hana lolote....

* mwa 4
* stroke
* mwekundu

Na hilo jina lake mwenyewe analojidai kujibu kwa uadilifu kumbe ni muuaji. Mwigulu hufai duniani wala kuzimu..
 

weee ni kibaraka mbeba mikoba na mbrush viatu vya mabwana wa chadema
 

ukisikia Nchemba amepewa uwaziri utajisikieje?
 
Nadhani ni vema mheshimiwa Nchemba ukatumia muda huu kuwapelekea maji wananchi wa jimbo lako, kusaidia ujenzi wa shule na zahanati kule jimboni kulikoni kuja kulumbana hapa kwa mada zisizo na miguu wala kichwa. Singida ni kati ya mikoa masikini sana ya nchi hii, better use this opportunity to give your voters their long awaited social amenities!
 

madhara ya gongo haya. leo umepiga chupa ngapi
 
Hapa kiongozi wangu wa chama umetafsiri ki swahili, Ben jiangalie

Naona wewe ndiyo Kiengereza kinakugonga. Kaangalie hiyo phrase "look at you" ina maana gani hapa http://www.urbandictionary.com/define.php?term=look at you!!!!!. Hiyo phrase imeelezewa kama:

"What you say in response to someone's boasting. A condescending, sarcastic way of subtly letting them know you don't give a f**k. Tends not to work on the subtlety-impaired, though."

Sasa kaka/dada kabla hujajifanya unakimanya sana Kilugha cha wakoloni bora ufanye research kidogo.
 
@Mwigulu,kwa mujibu wa Ben ,kaitwa polisi kwa kosa la kuingilia mawasiliano na mara nyingi polisi wetu wametamka kuwa hawawezi kuanzisha kesi kama hakuna mshitaki (ref Kapuya),kwa hiyo tunaamini kuna mtu/watu wameshitaki kuingiliwa mawasiliano yao na wewe unageuza ili ionekane polisi wanatafuta kwanini wamefungua e mail kwa majina ya watu,kwanini iwe kwenu ndo wafanye hivyo wakti kuna watanzania wengi hasa celebrity wamefunguliwa hata account za Facebook za majina yao halali na polisi hawajawafuata watumioaji halisi,kwanini kwako na Nchimbi? .Kwanini uje kujitetea baada ya Nchimbi kutupwa nje kwanini hukufanya kabla?

 
...

...kombora moja tu shetani miguu chali!!!

ulikuwa wapi siku zote......

...daaahhh mkuu yaaani nina maneno elfu ya kumjibu huyu jamaa ila nashindwa nianzeje kwa hasira, anyway comment yako ime summarise kauli yangu...
 
Mwigulu Nchemba unajua kuchemka, sasa siku zote ulikuwa wapi tulikuita sana uje kujibu hii taarifa ukakaa kimya, au uliona ina serve purpose by then ya kuigawa chadema mkakaa kimyaa.. Sasa silence sometimes means Yes!
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini ulikimbilia polisi kwa shtaka la kuhackiwa email yako?
 
Mwingulu alijiaminisha sana kwamba ana nguvu akiwa na Nchimbi. Sasa Nchimbi kafukuzwa. Jua mahacker wako wengi. Yawezekana kuhack Marais sembuse ww unayetumia yahoo.? Nikikunbuka Soweto .I hate you to the extreme.
 

Punguza mapovu we Jangili, Mbeya uliweka makambi ya kigaidi kwa lengo la kuwadhuru CDM, Igunga ulifumaniwa na mke wa mtu kasha ukaendesha mauaji ya kikatili wewe na Ashely, Usa river ulifanya mauaji, Arusha uliandaa mauaji, Ulifadhili matengenezo ya movie ile ya kichina kwa Lwakatare huku ukiratibu mateso ya mwandishi wa habari... Ikiwa kila ulifanyalo linalengo la kuwadhuru binadamu wenzio kwa malengo ya kuidhoofisha CDM jamii ikuelewe vipi? Ikiwa mawasiliano yako wewe na ZOKA, ZITTO, MSANGI yanaashiria maovu unataka sis jamii tukuchukulie vipi? kwani email yako iliyoko kwenye b.card inakunyima kuwa na emails nyingine? Mbona hapa JF una ID kibao?...WEwe si msafi hata kidogo, damu za watu zitakurudi tu! BTW mchumia tumbo first class "tuambie madhara ya kupandisha bei ya umeme kwa uchumi wa nchi? Ni sahihi kwa CCM kupandisha bei ya umeme ili muweze kuwalipa Agreco, IPTL, SONGAS na SYMBION million 700 kila siku?...
 
Reactions: Pai
...daaahhh mkuu yaaani nina maneno elfu ya kumjibu huyu jamaa ila nashindwa nianzeje kwa hasira, anyway comment yako ime summarise kauli yangu...

....Mkuu huyu shetani hawezi kutuchezea Watanzania wote!!!
 
ukisikia Nchemba amepewa uwaziri utajisikieje?

...kwanza aliyempa na aliyepewa woote manzi ganyanza,na hatutashangaa maana wakina mwigulu wapo weengi hata sasa...
 
Huyu Ben saanane anatumika vibaya sana na mbowe pamoja na slaa,hata kama tunaichukia ccm we have to look on positive things sio siasa za majitaka na uharo
Siasa za chuki na damu I hate them
Mkuu bado haijadhibitika kama ni uongo au ukweli, mbona una haraka hivyo? Subiri huyo shoga yako Mwigulu ajisafishe, manake sijaona kitu cha kunifanya nisiamini kuwa email ni zake
 
Ben Saanane hakusema amenasa mawasiliano yao. Yeye aliwaomba watoe ufafanuzi !

Wakati Ben Saanane anaandika ile post hayo mawasilianao yalishakuwa kwenye mtandao kwa muda mrefu tu.....

Asante kwa taarifa mkuu!

Kama ni hivyo kuwa mawasiliano haya yalikuwa kwenye net muda mrefu kwa nn ndiyo leo Mwigulu anajisafisha?Je kama Saanane alitoa angalizo tu kwa mambo yaliyopo online tayari tena muda mrefu kwa nn anahojiwa?

Kuna kitu kinafichwa hapa!
 

Mheshimiwa Mwigulu, tangu siku ile uliposema unao ushahidi wa 'ugaidi' wa Chadema na ambao hujautoa hadi leo, na ile kesi yenyewe kutupwa, SIKUAMINI TENA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…