KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Changudoa ni changudoa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuambia hivi , lazima watatajana tu , we subiri , hatuwezi kuvumilia MTU MMOJA akituharibia amani kwa kisingizio cha kulinda ccm .
wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
. Ben, look at you?
Ben sio mara yangu ya kwanza kufafanua hili. Siku nilipoiona tu niliandika humu na fb kuwa hiyo sio e mail yangu na wala sijawahi kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa e mail. Hapa nimeongelea ya kuwa umeitwa polisi of which nisingeongea kabla hujaitwa. Hizo siasa za kiwango cha chini mno.
chadema wao wangetengeneza gongo tu kwa sasa yawezekana ikawalipa vizuri siasa imewashinda kabisa.
Ben Saananendg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa
1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?
Hapa kiongozi wangu wa chama umetafsiri ki swahili, Ben jiangalie
[h=1]kuumbuka kwa mnafiki na mtengeneza sumu ben saa 8[/h]
Mh. Mwigulu Nchemba
Ben Saanane achana naye tuachie sisi anachotafuta ni umaarufu ili ajipenyeze Bavicha; huna sababu hata moja kujibishana na mzuzuraji ambaye hana tija yoyote katika jamii; siku zote anatafuta watu wenye majina ili ajijenge Bavicha; anajua fika kiatu hicho saizi yake ikiwa kimeshinda mabwana zake wanamtumia atakiweza yeye? huyo ni mganga njaa tu hana hata kimoja cha kukubaisha unajua hawa kauzu wa Bavicha wanachotafuta ni jela ili wajipe sifa ya uhanga hiyo ndiyo njia pekee wanayoijua; kama unavyojua tangu alipokosa ajira mambo ya nje amegeuka mchungu sana na serikali ya CCM; yaani tumlipie shule kazi tusimpe? Anashindwa kuelewa tabia zake alizofanya India ndio zilizomnyima kazi; wizara inataka watu wenye maadili ambao wakipelekwa nje wanatoa sifa bora kwa bora kwa taifa. Hata hapo Bavicha hawamtaki kwa tabia zake za kinafiki ni nani anaweza kukaa karibu na nyoka wa aina yake? Mh. achana na hwa kauzu wa Bavicha wanaotafuta umaarufu kwa nguvu; mtu mwenyewe hana maana hata moja wa nini kujibizana naye?