Na wewe wamekugawia?.PhD za kugawiwa
Hawana akili hawa.Kwahiyo ukitaka haki yako ya kuishi inabidi uwe umetimiza wajibu gani labda? ππ
Wajibu wako ni kuwa nyumbu usiwakosoe waache wale keki ya nchi.Kwahiyo ukitaka haki yako ya kuishi inabidi uwe umetimiza wajibu gani labda? ππ
Heshimu mamlaka zinazokuwepo utaendelea kuipata hiyo haki.Kwahiyo ukitaka haki yako ya kuishi inabidi uwe umetimiza wajibu gani labda? ππ
Extra judicial killings zinatokea dunia nzima, nani kawapa haki ya kuua raia wasio na hatia wale waasi wa M23 kule DRC?.Waliouwawa kwa risasi hawakutimiza wajibu gani?
Sheria ipi ilitoa mamlaka ya kuuwa nje ya taratibu za kisheria (extra judicial killings)?
Ni madai yapi ya waandamanaji hayakuwa ya kweli?
Wale waandamanaji kutoka nchi jirani wameshtakiwa mahakama ipi?
π π πMheshimiwa ameongea bonge la point ... hii ilifaa kabisa aitishe wahariri wote awafafanulie... yaani ni kama amepata mafunuo. Safi sana
Una uhakika kuwa hyo phd aligawiwa?PhD za kugawiwa, huwezi kusema TRAT AND TRAB kama source ya mapato ya taifa katika bajeti.... kama mnakumbuka kwenye bunge alipoulizwa na Tulia
These are Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) are quasi-judicial institutions.
Ni kilaza! Tafuta clip ya bunge usikie alivyokuwa amebugiUna uhakika kuwa hyo phd aligawiwa?
Una uhakika kuwa alsema kuwa hzo ni sources of income?
Inawezekana mh mwigulu ana madhaifu yake kama binadamu lakini kwenye uchumi syo kilaza kama unavyotaka kupotosha