Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Rais fala kwa mtazamo wako wewe mjuaji, lakini kwa mitazamo ya watu waelewa anafanya sana kazi.
Zunguka huko mikoani uone mengi anayoyafanya usiishie kusoma kurasa za instagram tu.

Wao walivyofosi kujichagua waliheshimu sheria?Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na WAJIBU.
Ameeleza kuwa kudai haki bila kuheshimu wajibu ni kwenda kinyume na Katiba, na kusisitiza kuwa kupata haki kunahitaji pia kuheshimu sheria za nchi.
Mwigulu amewataka Watanzania kuzingatia sheria na taratibu kama msingi wa kudumisha Haki na Amani nchini.
Awamu hii anatawala kwa shida mamanina! Ikulu unaitembelea kwa ku-beep!Rais fala kwa mtazamo wako wewe mjuaji, lakini kwa mitazamo ya watu waelewa anafanya sana kazi.
Zunguka huko mikoani uone mengi anayoyafanya usiishie kusoma kurasa za instagram tu.
Tukana ukiwa na jina lako la bandia, usirogwe kumtusi mbele ya kamera ambapo kila mtu anakuona, itakuwa siku yako ya mwisho kuvuta pumzi.
Kuipigia kura ccm mkuuKwahiyo ukitaka haki yako ya kuishi inabidi uwe umetimiza wajibu gani labda? 😆😂
Hakuna shida yoyote, kumbukeni nyinyi mmejaa huku kwenye mitandao ni wachache sana kulinganisha na maisha halisi yanayofaidika na kile anachokifanya kila anapotimiza ilani ya CCM.Awamu hii anatawala kwa shida mamanina! Ikulu unaitembelea kwa ku-beep!
Hivi wewe fala Mwigulu unafahamu unachokiongea? Naona akili zako kama za huyo mwenzako bibi wa Kizimkazi. Ninyi ni watu wa ovyo kupata kutokea....unajua maana ya wajibu? inahusiana vipi na haki? Hivi wewe ulifaulu kweli form IV? au upo upo tu?Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na WAJIBU.
Ameeleza kuwa kudai haki bila kuheshimu wajibu ni kwenda kinyume na Katiba, na kusisitiza kuwa kupata haki kunahitaji pia kuheshimu sheria za nchi.
Mwigulu amewataka Watanzania kuzingatia sheria na taratibu kama msingi wa kudumisha Haki na Amani nchini.
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.