Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 786
- 2,860
Heshimu mamlaka zinazokuwepo utaendelea kuipata hiyo haki.
Ukijifanya mjanja na kichwa ngumu ukashindana nguvu na mamlaka zilizopo utaishia kuumia.
Unamaanisha uhai wangu ni zawadi kutoka kwa bibi manyonyo na mwigulu baada ya mimi kuwalamba miguu?
Tangia lini uhai wa watanzania ukawa ni hisani kutoka kwa mamlaka?