Mwigulu: Tusijifiche kwenye kichaka cha HAKI bila WAJIBU

leo nimepata somo kubwa sana la katiba yetu linalonifanya kuendelea kuiamini
 
Phd si lazima iwe by coursework kuna phd by thesis
Hapa hakuna cha malpractice!
 
huyu mnashindwa kumpiga risasi? mnao enda kukutana nae ?
 
Wanatafuta kila aina ya kichaka cha kujificha, wanakikosa! Kwa mfano wanapoiba kura hadharani na kuwaengua wagombea wa upinzani, ili wao ccm wapite bila ya kupingwa; wananchi wameshindwa kutimiza wajibu upi?
Wanapoteka watu na kwenda kuwaua, hao watu walishindwa kutimiza wajibu upi? Sheria zinawataka kuteka watu na kuwapoteza, au kuwaua kikatili kama walivyofanya kwa mzee Kibao?

Wanajilimbikizia mali kila kukicha huku wananchi wakiishi maisha ya kuunga unga! Je, hawalipi kodi? Je, kodi yao inatumika kwenye matumizi sahihi? Au ndiyo inatumika kununua magari ya kifahari, kulipana posho nono na za kufuru, nk?

Wananchi wamependekeza Katiba waipendayo, na wao watawala wameifungia ile Rasimu kwenye makabati yao ili waendelee na mfumo ule ule mbovu wa kutawala chini ya katiba mbovu ya mwaka 1977! Bado kuna mtu anaongelea wajibu!

Wanafunga na kuwabambikia watu kesi za uongo! Bado kuna mtu anaongelea wajibu! Upi huo? Wa kutugeuza kuwa ng'ombe, au!!


PhD za kununua nyingine ni takataka tu.
 
mkuu unajua kupangilia aya vizuri

ila mbaya zaidi huna akili wala hoja ya maana
 
Huyu jamaa ni mpumbavu kweli kweli. Hajui kuwa Samia ndiye ameshindwa kutimiza wajibu wake namba moja wa kulinda maisha ya watanzania? Vijana wanatekwa na kuuawa na hili limeanza kabla ya uchaguzi na linaendelea mpaka leo. Samia ameshindwa kutimiza wajibu kwa kijivika urais wakati hakuchaguliwa. Idiot at the highest level.
 
Umeshawahi kuona kijana asiye na makandokando ya siasa akitekwa?.

Mifumo hufanya kazi kimya kimya, haina vishindo. Jukumu la Rais ni kulinda raia na mali zao ukijitokeza kwenda kinyume na kiapo hicho cha Rais usishangae ukakumbana na kadhia hiyo ya utekaji.
 
You are more than a fool. Kosa la ''makando-kando'' ya siasa ni kutekwa na kuuawa? Hujui nchi inaongozwa kwa sheria? Mahakama ziko kufanya nini?
 
You are more than a fool. Kosa la ''makando-kando'' ya siasa ni kutekwa na kuuawa? Hujui nchi inaongozwa kwa sheria? Mahakama ziko kufanya nini?
Dunia nzima watu wanatekwa, ukishangaa hawa watekaji wetu utashangaa pia namna ICE wanavyowateka raia wa kigeni kule USA.

Mifumo ya ulinzi haifanyi kazi kwa uwazi kwamba kila mtu aweze kuifahamu kwa kina. Ukitaka kuifanyia fitina Tanzania ikakufikia jiandae kulala ndani.
 
What ''dunia yote'' are you talking about. I never heard ICE abducting anybody and kill like the murderer Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…