Heshimu mamlaka zinazokuwepo utaendelea kuipata hiyo haki.
Ukijifanya mjanja na kichwa ngumu ukashindana nguvu na mamlaka zilizopo utaishia kuumia.
Abide by the law = obey the rules I designed to protect my powerTii sheria bila shuruti, hizi nyinginezo zote mbwembwe.
Kwa hiyo ni wajibu wa Polisi na vyombo vingine vya sirikali kuteka watu, kutunga Mashtaka ya uongo ili kuzuia wapinzani waifanyie shughuli za kisiasa , Bunge kushindwa kujadili ripoti za sieji, Waziri kupiga dili na kufuja uchaguzi, na sio wajibu wa wananchi kuhoji hayo madhilaWaziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na WAJIBU.
Ameeleza kuwa kudai haki bila kuheshimu wajibu ni kwenda kinyume na Katiba, na kusisitiza kuwa kupata haki kunahitaji pia kuheshimu sheria za nchi.
Mwigulu amewataka Watanzania kuzingatia sheria na taratibu kama msingi wa kudumisha Haki na Amani nchini.
Dola lazima ilindwe kwa nguvu kubwa.Abide by the law = obey the rules I designed to protect my power
Walipoanza kuandamana wale vijana wanajeshi na polisi walikaa pembeni wakidhani ni maandamano ya kistaarabu, walipoanza kuchoma vituo vya mwendokasi na kuvunja maduka ya watu binafsi wakawa wamechokoza nyuki.Unamaanisha uhai wangu ni zawadi kutoka kwa bibi manyonyo na mwigulu baada ya mimi kuwalamba miguu?
Tangia lini uhai wa watanzania ukawa ni hisani kutoka kwa mamlaka?
Manyonyo kama ana tenda ya kunyonyesha chekechea, siku zake zinahesabika. Hujui kilichomo ndani ya pazia tuDola lazima ilindwe kwa nguvu kubwa.
Wanakuja taratibu tu.Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na WAJIBU.
Ameeleza kuwa kudai haki bila kuheshimu wajibu ni kwenda kinyume na Katiba, na kusisitiza kuwa kupata haki kunahitaji pia kuheshimu sheria za nchi.
Mwigulu amewataka Watanzania kuzingatia sheria na taratibu kama msingi wa kudumisha Haki na Amani nchini.
Jichanganye tu na akili hizi za kipumbavu utashughulikiwa wazazi wako waanze kutia huruma mitandaoni.Manyonyo kama ana tenda ya kunyonyesha chekechea, siku zake zinahesabika. Hujui kilichomo ndani ya pazia tu
Huyo kilaza watz walimkataa waziwazi oct 29!YOTE , TISA KUMI , TUENDELEE KUMSAPOTI MAMA WA AFRICA , RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN TANZANIA KWANZA AMANI KWANZA.πΉπΏ
Hii ni takataka kama Lucas Mwashambwa tuWaziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na WAJIBU.
Ameeleza kuwa kudai haki bila kuheshimu wajibu ni kwenda kinyume na Katiba, na kusisitiza kuwa kupata haki kunahitaji pia kuheshimu sheria za nchi.
Mwigulu amewataka Watanzania kuzingatia sheria na taratibu kama msingi wa kudumisha Haki na Amani nchini.
Walipoanza kuandamana wale vijana wanajeshi na polisi walikaa pembeni wakidhani ni maandamano ya kistaarabu, walipoanza kuchoma vituo vya mwendokasi na kuvunja maduka ya watu binafsi wakawa wamechokoza nyuki.
Wangeendelea na uandamanaji wa amani hakuna ambaye angewagusa, walipotaka kuwapanda watu mabegani wakaanza kushughulikiwa vilivyo.
Sheria kandamizi,haki kuipata kwenye mfumo wa kijani ni uongo,mmeteka polic,mahakama na bunge wanachi wakimbile wapi.Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na WAJIBU.
Ameeleza kuwa kudai haki bila kuheshimu wajibu ni kwenda kinyume na Katiba, na kusisitiza kuwa kupata haki kunahitaji pia kuheshimu sheria za nchi.
Mwigulu amewataka Watanzania kuzingatia sheria na taratibu kama msingi wa kudumisha Haki na Amani nchini.
Wajibu wa kuitetea CCM πKwahiyo ukitaka haki yako ya kuishi inabidi uwe umetimiza wajibu gani labda? ππ
π πHivi kuna wajibu gani tunaotakiwa kuutekeleza ili ccm wasiibe uchaguzi?
Simply huyu ndundundu HATAKI haki.Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.
Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na WAJIBU.
Ameeleza kuwa kudai haki bila kuheshimu wajibu ni kwenda kinyume na Katiba, na kusisitiza kuwa kupata haki kunahitaji pia kuheshimu sheria za nchi.
Mwigulu amewataka Watanzania kuzingatia sheria na taratibu kama msingi wa kudumisha Haki na Amani nchini.
Hili jambo hata uwe na akili vipi, haliteteeki, kadri unavyotetea ndivyo unavyozidi kuharibu.mkuu unajua kupangilia aya vizuri
ila mbaya zaidi huna akili wala hoja ya maana
Bora umekiri kuwa mnateka watuβ¦Umeshawahi kuona kijana asiye na makandokando ya siasa akitekwa?.
Mifumo hufanya kazi kimya kimya, haina vishindo. Jukumu la Rais ni kulinda raia na mali zao ukijitokeza kwenda kinyume na kiapo hicho cha Rais usishangae ukakumbana na kadhia hiyo ya utekaji.
Najaribu kutafakari tu,je vipi wale wajifichao kwenye kichaka cha amani bila uwajibikaji wa la kujali chochote hata haki yenyewe?Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI.