Mwigulu: Tusijifiche kwenye kichaka cha HAKI bila WAJIBU

Bora umekiri kuwa mnateka watu…
Unakamatwa, ukitumia kutekwa unakuwa unajaribu kujipa umaarufu. Sio kila mtu anayekamatwa kwa nguvu mpaka uwe na kosa la muda mrefu.

Wengine wanamtukana Rais SSH hadharani ushahidi ukiwepo. Mara nyingi hawa wanaposhughulikiwa hata Rais anakuwa hajui kitu gani kinachoendelea. Kitengo cha State Security kinakuwa kazini.

Hata Tundu Lissu na machachari yake yote hamtukani Rais moja kwa moja, ukijifanya kichaa wale vichaa halisi wanashughulika na wewe.
 
Na tusijifiche kwenye kichaka cha amani bila haki.
 
Una uhakika kuwa hyo phd aligawiwa?
Una uhakika kuwa alsema kuwa hzo ni sources of income?

Inawezekana mh mwigulu ana madhaifu yake kama binadamu lakini kwenye uchumi syo kilaza kama unavyotaka kupotosha
Kwani Kerato Momba anasemaje?
 
Huu sasa ni upumbavu! Yaani haki unaita ni kichaka? Itoshe kusema tuna PM mpuuzi! Kwa hiyo hajui ili tuwe na amani lazima tutimize wajibu wa haki?
 
Huyu mjinga mmemtoa wapi? CCM this is too much
 
Huyu jamani ng'ombe kama ng'ombe wa Kisukuma! Hivi haki inadumishwa au haki inatolewa?
 
Umesahau ulichosema mwanzo?

I am not going to argue with you, nilitaka nikuoneshe akili zako zinavyofanana.

Gazeti refu unajitia aibu tu, hauelezi kwanini watu wakimtukana Rais watekwe. Rais akiwatukana wananchi afanyajwe? Rais akiwa muonevu na muuaji afanyajwe? Akiwa incompetent je?
 
Dunia nzima ukimtukana Rais unaweza kupoteza maisha sio Tanzania pekee.

Amiri Jeshi Mkuu ukimtukana umetukana wanajeshi wote, ni nembo ya taifa ukiitukana umelitukana taifa zima.

Pia agizo la Rais lazima litekelezwe inaweza kupita hata miaka 20 lakini linasubiri utekelezaji.

George Bush alimuweka Ghadhafi katika kundi la maadui wa USA mwaka 2001 baada ya Osama kufanya shambulia la kigaidi.

Akaja kupigwa risasi mwaka 2011 miaka 10 baadae, aliyetekeleza agizo hilo alikuwa Barack Obama aliyekuta mezani lipo agizo la kummaliza Ghadhafi.

Nenda kule Marekani muigize Trump kadri unavyoweza mtengeneze wa bandia kadri unavyoweza ikanyage hiyo sanamu yake kadri unavyojisikia lakini kitendo cha kumtukana kinaweza kikakupeleka pabaya.

Rais mwonevu kivipi?. Nchi sio sawa na night club ambapo kila mtu anajiendea tu, inaongozwa na taratibu na sheria zake ukizivunja unakutana na kichapo, ukiziheshimu hakuna mtu atakugusa.
 
Samia tulimchagua sisi wakati nyinyi wanaharakati mkiishia kuja na kauli mbiu za mitandaoni.

Haki ya kuwepo ikulu tumempa sisi tunaojua kitu gani anachokifanya nchi nzima.

Wewe na mimi mbona hatujatekwa tupo huru tunajadiliana humu jukwaani?.

Unapotekwa maana yake umeshagundulika kuwa wewe ni hatari kwa uhai wa Taifa, wewe ni adui wa ulinzi wa Taifa.

Jiulize kwanini wale vijana waliokamatwa baada ya October 29 wote walipewa kesi ya uhaini, hawakupewa kesi ya aina nyingine yoyote.
 
In short unatetea upumbavu! Rais hawezi kujipa ukuu sawa na Mungu wa kuondoa uhai wa watu kama anaua nzige! Marais wakubwa duniani wanatukanwa seuse hizi kajamba nani zetu hizi!
 
In short unatetea upumbavu! Rais hawezi kujipa ukuu sawa na Mungu wa kuondoa uhai wa watu kama anaua nzige! Marais wakubwa duniani wanatukanwa seuse hizi kajamba nani zetu hizi!
Rais hajipi yeye ukuu, wanaokushughulikia ni watu wengine ambao hata yeye hawajui.

Huwezi kumtukana amiri jeshi mkuu halafu ukaendelea kudunda mtaani, kumbuka Rais anapoapa kiapo chake kinamlinda yeye kimwili na kiroho.
 
Sasa kama raia wana Rais fala wafanyeje?
 
Muulizeni kati ya wananchi na serikali nani ambaye hajatimimiza wajibu wake?
Kutekwa ,kuuliwa,kupoteza watu.nani ana wajibu wa kujuia haya mambo?
Nchi ina watu wasiojulikana nani ana wajibu wa kuwalinda wananchi?
 
Huyu Bwana mpaka leo najiuliza alipataje Uwaziri Mkuu. Unawaita Wananchi wanaharakati kwa sababu wanadai haki.
 
Una uhakika kuwa hyo phd aligawiwa?
Una uhakika kuwa alsema kuwa hzo ni sources of income?

Inawezekana mh mwigulu ana madhaifu yake kama binadamu lakini kwenye uchumi syo kilaza kama unavyotaka kupotosha
Huyo Mwigulu wako ni kipanga kwenye makaratasi ila kwenye matendo ni kilaza mkubwa hilo hata wewe unalijua
 
Huyo Mwigulu wako ni kipanga kwenye makaratasi ila kwenye matendo ni kilaza mkubwa hilo hata wewe unalijua
We umepiga pigaje hapo?
Mwigulu huyu mtani wangu ni kipanga kuanzia kwenye makaratasi hadi utendaji kazi na anauishi uhalisia!
 
I wont come down to your level bacause I know you have a lot of experince down there with your fellow fools, if you want a discussion come up...
 
I wont come down to your level bacause I know you have a lot of experince down there with your fellow fools, if you want a discussion come up...
Mbwembwe nyiingi, chungeni sana hizi hulka za dharau kisa Rais ana jinsia ya kike lazima ziwatokee puani.
 
Sasa kama raia wana Rais fala wafanyeje?
Rais fala kwa mtazamo wako wewe mjuaji, lakini kwa mitazamo ya watu waelewa anafanya sana kazi.

Zunguka huko mikoani uone mengi anayoyafanya usiishie kusoma kurasa za instagram tu.

Tukana ukiwa na jina lako la bandia, usirogwe kumtusi mbele ya kamera ambapo kila mtu anakuona, itakuwa siku yako ya mwisho kuvuta pumzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…