Mwigulu: Tusijifiche kwenye kichaka cha HAKI bila WAJIBU

Wao walivyofosi kujichagua waliheshimu sheria?
 
Awamu hii anatawala kwa shida mamanina! Ikulu unaitembelea kwa ku-beep!
 
Awamu hii anatawala kwa shida mamanina! Ikulu unaitembelea kwa ku-beep!
Hakuna shida yoyote, kumbukeni nyinyi mmejaa huku kwenye mitandao ni wachache sana kulinganisha na maisha halisi yanayofaidika na kile anachokifanya kila anapotimiza ilani ya CCM.

Maisha ya mtandaoni tofauti kabisa na uhalisia unaoendelea huko mitaani.
 
Hivi wewe fala Mwigulu unafahamu unachokiongea? Naona akili zako kama za huyo mwenzako bibi wa Kizimkazi. Ninyi ni watu wa ovyo kupata kutokea....unajua maana ya wajibu? inahusiana vipi na haki? Hivi wewe ulifaulu kweli form IV? au upo upo tu?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…