Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

Nimesikia akisema atakayeona maisha ya tz ni magumu ahamie Burundi nikahasi labda mama kaenda huko kutuombea hifadhi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa watumishi wakilipwa watu wajue kwamba hao waliolipwa watakuwa na hela za kununua magimbi mihogo mahindi na mifugo mfano kuku wa kuchinja kutoka kwa wananchi wa kawaida hivyo kuongeza mzunguko wa hela na kila mtu anayefanya kazi atafaidi
 
Jitu mbovu sn hili
 
…. This IDIOT has a PhD in economics 😂😂😂😂

 
Hatari sn
 
Akili matope kabisa huyu. Sequential flow na logic hana kbsa kwenye thinking yake.
 
Halafu pale wizara ya fedha ,huwa wanajitchotea ,tunakatwa makodi halafu Kesho na keshokutwa unasikia wizara ya fedha imejilipa 1.6B Kama posho ya kuanda taarifa ya mpango wa manunuzi
 
Nimepata sababu ni kwanini watu wengi wa hapa Arusha wanawadharau sana watu wa kabila la Wanyiramba aseeee daaaah! sio kwa pumba hii aliyokuja nayo waziri
 
kwanini wasingeachia Pesa kwanza alafu ndio wakaongeza kodi za miamala
 
Nimepata sababu ni kwanini watu wengi wa hapa Arusha wanawadharau sana watu wa kabila la Wanyiramba aseeee daaaah! sio kwa pumba hii aliyokuja nayo waziri
Sio kweli kuhusu wanyiramba. Matatizo ya mtu binafsi hayana uhusiano na kabila analotokea. Kama yeye umeona ana mapungufu usihusishe na watu wa kabila analotokea kuwa wote ni sawa.
 
Dah jamaa anaoana wananchi Kama watoto wadogo flani hivi.
Hii staili inatumika Sana kuwadanganya watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…