Mwigulu: Wanataka kwenda kushambulia watu kwa risasi wasingizie Polisi, ili nchi ichafuke

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.

Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.

Soma: John Mnyika: Siyo kweli kwamba Mwigulu na Serikali hawana Mgogoro na Sisi, ndiyo maana wamezuia ruzuku ya mil. 500

Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"

View attachment 3621400
Ukitengeneza list ya watu ambao hawana akili Tanzania, huyu mazafaka hawezi kukosekana kwenye Top 5!
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.

Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.

Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"

View attachment 3621400
Kuna kauli si za kusema kama waziri mkuu, in daylight
 
Hao watu si muwakamate kama kweli mnawafahamu. Huo ni mpango wa polisi kushambulia wstu kwa risasi kwasababu wao ndio wanaishi nazo vituoni.

Mwigulu ametoa siri.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.

Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.

Soma: John Mnyika: Siyo kweli kwamba Mwigulu na Serikali hawana Mgogoro na Sisi, ndiyo maana wamezuia ruzuku ya mil. 500

Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"

Sasa hao watu wanaijuaje mipango yao bila ya wao kujulikana....!!? Very cheap propaganda.
 
Alazimishwe kupimwa akili.
 
Huyu madelu anawachuliaje wananchi? Au hilo hirizi la kisukuma alilovaa anadhani linamsaidia kuwahadaa wananchi?
Yaani Misiime anavyopenda kamera aache kuja na sinema zetu na tubahasha twa kaki twa kuwagawia kina miliard Ayo ili wamrushe huyo mtengeneza mabomu?
Kama Ayo tv haijarusha habari anazozinadi basi ujue ni muongo na mzushi akidhani anawamudu wananchi ambao kwake ni wajinga fulani hivi!
Aendelee tu kuwatia morali wa kuua hao green guards wake ila safari hii kitamlamba!
 
Anapenda stori za uongouongo, anaona kama vile watanzania wote ni wajinga vile, hapo akiambiwa aonyeshe ushahidi ataaibika bure, siyo kila mtu atadanganyika na drama zake
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.

Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.

Soma: John Mnyika: Siyo kweli kwamba Mwigulu na Serikali hawana Mgogoro na Sisi, ndiyo maana wamezuia ruzuku ya mil. 500

Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"

Huyu ni wazir mkuu mpumbavu kuliko wote narudia mpumbavu
Ndo mana alijiandika kwenye mawe nchi nzima kuomba uraisi huyu
 
Back
Top Bottom