Mwigulu: Wanataka kwenda kushambulia watu kwa risasi wasingizie Polisi, ili nchi ichafuke

Mwigulu: Wanataka kwenda kushambulia watu kwa risasi wasingizie Polisi, ili nchi ichafuke

Huyo Mwigulu nadhani ndio alitengeneza ile sinema ya kipuuzi wa mwanajeshi wa US aliyekamatwa huko Mara, akiwa na bomu lenye rangi ya cdm. Hadi leo hakuna kesi yoyote ya huyo mwanajeshi. Kwa propanda hizo za kitoto ndio utajua kuna viongozi wajinga kiasi gani wamejiweka madarakani.
 
Back
Top Bottom