CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
RIP mwalimu Nyerere.
RIP Sokoine.
Tanganyika Imepata PM Kichaa.
RIP Sokoine.
Tanganyika Imepata PM Kichaa.
Huyu jamaa namchukia sana... Almanusura lile bomu liondoke na Mimi... Ilirushwa then zikafuatia shaba za motoLile bomu lililorushwa kule Arusha ilikuwa handwork ya huyu mpuuzi Madelu.
Maandamano hayatakiwepo kabisa.Lakini Serikali imejiingiza kwenye mtego mbaya kwa kujihami kiasi hicho.Kwani kila maandano yakitangazwa watakuwa wanatumia nguvu nyingi kama wanavyofanya sasa.Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.
Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.
Soma: John Mnyika: Siyo kweli kwamba Mwigulu na Serikali hawana Mgogoro na Sisi, ndiyo maana wamezuia ruzuku ya mil. 500
Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"
Mwigulu Nchemba ni kiwanda cha uongoHuyu jamaa namchukia sana... Almanusura lile bomu liondoke na Mimi... Ilirushwa then zikafuatia shaba za moto
Naikumbuka ile, nilikuwa karibu na eneo la tukio pale viwanjani Soweto. Ule mlio niliusikoa na watu wakitawanyika na kukimbia hovyo. It was a very terrific event jamaa akiwa ndie mwenye dhamana wizara ya mambo ya ndani.Lile bomu lililorushwa kule Arusha ilikuwa handwork ya huyu mpuuzi Madelu.
Anafanya kazi za propaganda kama mwenezi wa chama akiachana na majukumu ya uwaziri mkuu wake🙌Kama waziri mkuu ni kilaza namna hii vipi Kwa aliyemteua
Ni mshenzi sana sijui Samia aliona nini kwake hadi kumpa Uwaziri Mkuu.Naikumbuka ile, nilikuwa karibu na eneo la tukio pale viwanjani Soweto. Ule mlio niliusikoa na watu wakitawanyika na kukimbia hovyo. It was a very terrific event jamaa akiwa ndie mwenye dhamana wizara ya mambo ya ndani.
Upo Sahihi kabisaa huyu yupo kwenye project ya kujitangazaAnafanya kazi za propaganda kama mwenezi wa chama akiachana na majukumu ya uwaziri mkuu wake🙌
All in all anatumia nafasi hii ya uwaziri mkuu kujijenga na yajayo🤣
Mwaka 2015 alitumia hela zake kuwalipa watu waandike kwenye madaraja na mawe makubwa nchi nzima kuwa Mwigulu Rais 2015, safari hii anatumia kodi zetu kujijenga yeye kwa ajili ya 2030. Huyu jamaa yuko tayari hata kufanywa chochote ili mradi 2030 awe yeye.Anafanya kazi za propaganda kama mwenezi wa chama akiachana na majukumu ya uwaziri mkuu wake🙌
All in all anatumia nafasi hii ya uwaziri mkuu kujijenga na yajayo🤣
Yaani huyu jamaa yuko so obsessed na urais wa hii nchi. Watanzania wameamka na wasitegemee vijiti vya kupeana kwa wizi waliouzoea, bila katiba mpya hakuna uchaguzi 2030 na hiki ndicho hawakitakiMwaka 2015 alitumia hela zake kuwalipa watu waandike kwenye madaraja na mawe makubwa nchi nzima kuwa Mwigulu Rais 2015, safari hii anatumia kodi zetu kujijenga yeye kwa ajili ya 2030.
Hivi hii issue iliisha vipi?Lile bomu lililorushwa kule Arusha ilikuwa handwork ya huyu mpuuzi Madelu.
Kwa vile mhusika mkuu alikuwa Mwigulu na Polisi wake ishu ilikufa natural death hata jalada halikufunguliwa kama ilivyokuwa kwenye shambulio la Lissu.Hivi hii issue iliisha vipi?
Kana yeyote alikamatwa au ndo ile kesi ya Mbowe ya ugaidi then mambo yakaishia hapo?
Yet jamaa still has the guts kuongelea issue ambayo hawakufanyia uchunguzi. Only in Tanzania brother, so sad kuwa na leadership ya namna hii.Kwa vile mhusika mkuu alikuwa Mwigulu na Polisi wake ishu ilikufa natural death hata jalada halikufunguliwa kama ilivyokuwa kwenye shambulio la Lissu.