Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ukitengeneza list ya watu ambao hawana akili Tanzania, huyu mazafaka hawezi kukosekana kwenye Top 5!Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.
Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.
Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"
View attachment 3621400
Kuna kauli si za kusema kama waziri mkuu, in daylightWaziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.
Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.
Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"
View attachment 3621400
Hata Boss wake naye ni shida tu.Huyu hakustahili kiwa PM
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.
Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.
Soma: John Mnyika: Siyo kweli kwamba Mwigulu na Serikali hawana Mgogoro na Sisi, ndiyo maana wamezuia ruzuku ya mil. 500
Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"
Alazimishwe kupimwa akili.Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.
Akizungumza Julai 3, 2026 akiwa ziarani huko Butiama mkoani Mara, Dkt. Mwigulu amesema baada ya Serikali kugundua mipango hiyo ili kulinda raia na mali zao walifikia uamuzi wa kuzuia mikutano ya Vyama vya Siasa kwa muda ili kuchunguza "Baada ya kuona mipango hiyo inayopangwa, tukasema kipaumbele namba moja ni ulinzi wa nchi yetu na watu wake.
Soma: John Mnyika: Siyo kweli kwamba Mwigulu na Serikali hawana Mgogoro na Sisi, ndiyo maana wamezuia ruzuku ya mil. 500
Kama waliwahi kurusha bomu la kuua kwenye mkutano wa hadhara na sasa hivi wanataka nchi yetu ichafuke na wanavyojipanga tulivyowasikiliza, wanataka watu wafe", ameeleza. Aidha, Waziri Mkuu amesema Mikutano ya Kisiasa ipo kikatiba na itaendelea, huku akisisitiza "hatuna migogoro ya vyama vya Siasa"
Huyu ni wazir mkuu mpumbavu kuliko wote narudia mpumbavuWaziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa.