Mwigulu: Wanataka kwenda kushambulia watu kwa risasi wasingizie Polisi, ili nchi ichafuke

Maandamano hayatakiwepo kabisa.Lakini Serikali imejiingiza kwenye mtego mbaya kwa kujihami kiasi hicho.Kwani kila maandano yakitangazwa watakuwa wanatumia nguvu nyingi kama wanavyofanya sasa.
 
Naikumbuka ile, nilikuwa karibu na eneo la tukio pale viwanjani Soweto. Ule mlio niliusikoa na watu wakitawanyika na kukimbia hovyo. It was a very terrific event jamaa akiwa ndie mwenye dhamana wizara ya mambo ya ndani.
Ni mshenzi sana sijui Samia aliona nini kwake hadi kumpa Uwaziri Mkuu.
 
Anafanya kazi za propaganda kama mwenezi wa chama akiachana na majukumu ya uwaziri mkuu wake🙌
All in all anatumia nafasi hii ya uwaziri mkuu kujijenga na yajayo🤣
Mwaka 2015 alitumia hela zake kuwalipa watu waandike kwenye madaraja na mawe makubwa nchi nzima kuwa Mwigulu Rais 2015, safari hii anatumia kodi zetu kujijenga yeye kwa ajili ya 2030. Huyu jamaa yuko tayari hata kufanywa chochote ili mradi 2030 awe yeye.
 
Mwaka 2015 alitumia hela zake kuwalipa watu waandike kwenye madaraja na mawe makubwa nchi nzima kuwa Mwigulu Rais 2015, safari hii anatumia kodi zetu kujijenga yeye kwa ajili ya 2030.
Yaani huyu jamaa yuko so obsessed na urais wa hii nchi. Watanzania wameamka na wasitegemee vijiti vya kupeana kwa wizi waliouzoea, bila katiba mpya hakuna uchaguzi 2030 na hiki ndicho hawakitaki
 
Mipango hiyo inapangwa na akina Mwaipopo na Mwandambo,sasa mikutano ya siasa inahusikaje?

Nchi hii watuhumiwa hukamatwa ndiyo uchunguzi unaanza,mbona hatujaambiwa watu kushikiliwa mpaka sasa?
 
Lile bomu lililorushwa kule Arusha ilikuwa handwork ya huyu mpuuzi Madelu.
Hivi hii issue iliisha vipi?
Kana yeyote alikamatwa au ndo ile kesi ya Mbowe ya ugaidi then mambo yakaishia hapo?
 
Hivi hii issue iliisha vipi?
Kana yeyote alikamatwa au ndo ile kesi ya Mbowe ya ugaidi then mambo yakaishia hapo?
Kwa vile mhusika mkuu alikuwa Mwigulu na Polisi wake ishu ilikufa natural death hata jalada halikufunguliwa kama ilivyokuwa kwenye shambulio la Lissu.
 
Peter maggoti huyo.
Na bado anawachapa watu huko Kisarawe.
 
Kwa vile mhusika mkuu alikuwa Mwigulu na Polisi wake ishu ilikufa natural death hata jalada halikufunguliwa kama ilivyokuwa kwenye shambulio la Lissu.
Yet jamaa still has the guts kuongelea issue ambayo hawakufanyia uchunguzi. Only in Tanzania brother, so sad kuwa na leadership ya namna hii.
 
Aseee, nchi inaongozwa na watu wa hovyo hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…