Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.

Mwijaku.jpg
 
Huu ndo utamu wa demokrasia ndani ya CCM lakini CHADEMA hakuna kinachofanyika kwa sababu Mwenyekiti wao yupo ndani
Hayaaa! Unajibanza kwenye demokrasia halafu ni kama unataka iwe "lazima" kwa CHADEMA?Kwa nini wasiwe NRA?Au unataka tu CHADEMA itumike kushiriki hizo chaguzi za kihuni ili mataifa mengine na wafadhili/mabeberu waone Tanzania kuna demokrasia?
 
Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha leo tena Burton Mwemba maarufu kwa jina la MWIJAKU amefika katka ofisi za CCM lumumba DSM kuchukua fomu ya kugombea kiti cha uspika wa bunge,

Fomu hizo zinatolewa ili kupata mtu atakae ziba pengo la Mh Dugai aliejihuzuru hivi karbuni.
Screenshot_20220114-134212.jpg
 
Back
Top Bottom