joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Siasa zetu hazijawahi kuwa serious kama zingekuwa serious hata wapuuzi kama hawa wasingethubutu kuleta hizi Comedy japo ndio ana haki kikatiba ila haya ni matusi kwa siasa zetu na ndio maana hata baadhi ya viongozi wetu wa serikali hawajawahi kuwa serious.Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kuchukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
Yaleyale ya ndugu zetu walio amini Mama Manunu wa Maana kisa ana mtaji wa watu Social networks.