Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Unataka kutuaminisha ukiwa na Degree teyari unaakili sawia?Mwijaku amewaacha wengi humu kwa status,fedha, umaarufu,elimu, ujanja nk.
Mwijaku ana digrii mbili UDSM na Mzumbe.
Kila mtu ana haki ya kugombea nafasi.
Kuna watu wanajifanya wana maadili sana kumbe ndio majizi makubwa.