Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

Huu ndo utamu wa demokrasia ndani ya CCM lakini CHADEMA hakuna kinachofanyika kwa sababu Mwenyekiti wao yupo ndani
Lini bunge litatangaza utaratibu wa kugombea hiyo nafasi kwa watu vyama vyote?
 
Hiyo pesa ya kuchukulia form angempelekea mama yake mzazi kijijini huko si angeambulia hata dua.
Ila kwa CCM hakuna linaloshindikana. Kama Waitara ambae ni cha pombe mashuhuri alipewa unaibu waziri hata huyu mpuuzi wa instagram anaweza pewa uspika.
 
Fukuza hilo Pimbi hapo maana linadhani kila kitu maigizo.
 
Tunapo elekea hadi mashoga watachukua fomu ya kugombea uraisi wa nchi
wee unauhakika gani kama huko bungeni hakuna mashoga? na hukohuko ndiko hutoka wa kwenda kuchukua hizo fomu za kugombea urais
 
Mwijaku amewaacha wengi humu kwa status,fedha, umaarufu,elimu, ujanja nk.
Mwijaku ana digrii mbili UDSM na Mzumbe.
Kila mtu ana haki ya kugombea nafasi.
Kuna watu wanajifanya wana maadili sana kumbe ndio majizi makubwa.
 
wacha wachukue hata buku ndio vizuri tutaoona panapovuja. Hii nchi kuna siku wakat mtu ana excise uhuru wake wa kuchaguliwa atachaguliwa kichaa mmoja kwa watu kitumia pia uhuri wao kuchagua halafu tutapatamatatizo makubwa sna. Hapa inaomesha umuhimu wa katiba mpya sana yaan!
 
Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha leo tena Burton Mwemba maarufu kwa jina la MWIJAKU amefika katka ofisi za CCM lumumba DSM kuchukua fomu ya kugombea kiti cha uspika wa bunge,

Fomu hizo zinatolewa ili kupata mtu atakae ziba pengo la Mh Dugai aliejihuzuru hivi karbuni.View attachment 2080733
Nafasi ya Spika Ndugai ameinajisi imeonekana ni nafasi ya hovyo mtu yoyote anaweza kuwa Spika
 
Jf members mbona tunaangushana

Mkachukue form

Ova
 
Mwijaku amewaacha wengi humu kwa status,fedha, umaarufu,elimu, ujanja nk.
Mwijaku ana digrii mbili UDSM na Mzumbe.
Kila mtu ana haki ya kugombea nafasi.
Kuna watu wanajifanya wana maadili sana kumbe ndio majizi makubwa.
Hata kichaa anaweza kuwa Spika
 
Mmmh, Udhalilishaji wa nafasi ya uspika
Kabisa...Ndugai Mungu anamuona kwa kudunisha nafasi ya spika kiasi kila mtu anafikiri anaweza kuimudu nafasi hiyo people the like of Musukuma, Mwijaku are just mockery to the position!
 
Back
Top Bottom