Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

Huu ndo utamu wa demokrasia ndani ya CCM lakini CHADEMA hakuna kinachofanyika kwa sababu Mwenyekiti wao yupo ndani
Hayaaa! Unajibanza kwenye demokrasia halafu ni kama unataka iwe "lazima" kwa CHADEMA?Kwa nini wasiwe NRA?Au unataka tu CHADEMA itumike kushiriki hizo chaguzi za kihuni ili mataifa mengine na wafadhili/mabeberu waone Tanzania kuna demokrasia?
 
Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha leo tena Burton Mwemba maarufu kwa jina la MWIJAKU amefika katka ofisi za CCM lumumba DSM kuchukua fomu ya kugombea kiti cha uspika wa bunge,

Fomu hizo zinatolewa ili kupata mtu atakae ziba pengo la Mh Dugai aliejihuzuru hivi karbuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…