joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Siasa zetu hazijawahi kuwa serious kama zingekuwa serious hata wapuuzi kama hawa wasingethubutu kuleta hizi Comedy japo ndio ana haki kikatiba ila haya ni matusi kwa siasa zetu na ndio maana hata baadhi ya viongozi wetu wa serikali hawajawahi kuwa serious.Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kuchukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kuchukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
Sio mtangazaji wa clouds tu sema mchochezi wa insta anataka kuwa spika[emoji23][emoji23]Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kuchukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
Aiseeee!Atumie ile video yake ya kikubwa kuombea kura
Ndugai alidhalilisha sana wadhifa wa uspika,ona sasa mpaka pornographers nao wanaona wanafaa😂😂🏃♂️Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kuchukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
Bongo wajinga wengi sana....fedha,umaarufu,ujanja ndio qualifications za kuwa spika!? Umedanganywa.Mwijaku amewaacha wengi humu kwa status,fedha, umaarufu,elimu, ujanja nk.
Mwijaku ana digrii mbili UDSM na Mzumbe.
Kila mtu ana haki ya kugombea nafasi.
Kuna watu wanajifanya wana maadili sana kumbe ndio majizi makubwa.
Sawa mjinga mwenzanguKila mTanzania ana haki sawa. Punguza kuwaza ujinga.
CDM walimkaribisha Wema kama mwanachama, nadhani mshangao na kebehi zako ungezielekeza kwa CCM waliompa nafasi ya kugombea ubunge.Siasa zetu hazijawahi kuwa serious kama zingekuwa serious hata wapuuzi kama hawa wasingethubutu kuleta hizi Comedy japo ndio ana haki kikatiba ila haya ni matusi kwa siasa zetu na ndio maana hata baadhi ya viongozi wetu wa serikali hawajawahi kuwa serious.
Yaleyale ya ndugu zetu walio amini Mama Manunu wa Maana kisa ana mtaji wa watu Social networks.
View attachment 2080892View attachment 2080893
Kama Ndugai alikuwa spika ni nani hawezi kuwa spika?Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kuchukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
Hivi hawana/hakuna vigezo??That's mockery
Thermometer ina degree 100 lakini inaishia kwapani tu.Mwijaku amewaacha wengi humu kwa status,fedha, umaarufu,elimu, ujanja nk.
Mwijaku ana digrii mbili UDSM na Mzumbe.
Kila mtu ana haki ya kugombea nafasi.
Kuna watu wanajifanya wana maadili sana kumbe ndio majizi makubwa.
Hakukua na nafasi kipindi hicho, ila kwa kauli yao "Wema ana mtaji wa watu Social networks......",kama kungekuwa na nafasi angegombea,kumbuka hata hao wanao chukua form ni wanachama.CDM walimkaribisha Wema kama mwanachama, nadhani mshangao na kebehi zako ungezielekeza kwa CCM waliompa nafasi ya kugombea ubunge.
Sasa kuna tatizo gani juu ya hilo ikiwa hata CCM iliwahi fanya hivyo hivyo, sikia sina tatizo na chama chochote kumpa yeyote kadi ya uanachama au nafasi ya kugombea. Nina tatizo na wewe kuishangaa CDM na kuiacha CCM as if haijawahi kufanya hayo. Hii tuiiteje? Btw, nimeshakusoma sehemu nyingi una tatizo na CDM, ambayo ni haki yako..... Wakati huo huo ukiiponda CDM, unaowashabikia wanafanya hayo hayo na pengine worse zaidi.Hakukua na nafasi kipindi hicho, ila kwa kauli yao "Wema ana mtaji wa watu Social networks......",kama kungekuwa na nafasi angegombea,kumbuka hata hao wanao chukua form ni wanachama.
SSasa kuna tatizo gani juu ya hilo ikiwa hata CCM iliwahi fanya hivyo hivyo, sikia sina tatizo na chama chochote kumpa yeyote kadi ya uanachama au nafasi ya kugombea. Nina tatizo na wewe kuishangaa CDM na kuiacha CCM as if haijawahi kufanya hayo. Hii tuiiteje? Btw, nimeshakusoma sehemu nyingi una tatizo na CDM, ambayo ni haki yako..... Wakati huo huo ukiiponda CDM, unaowashabikia wanafanya hayo hayo na pengine worse zaidi.
Hata hivyo ni haki yako, nilitaka tu kukumbusha uache unafiki!
Naona na ww una mihemko na chama chako, hiko chama mimi nishakuwa kada tokea 2009 mpaka 2015,tena frontline kuanzia mtaani mpaka chuoni (sikulazimishi ukubali).Sasa kuna tatizo gani juu ya hilo ikiwa hata CCM iliwahi fanya hivyo hivyo, sikia sina tatizo na chama chochote kumpa yeyote kadi ya uanachama au nafasi ya kugombea. Nina tatizo na wewe kuishangaa CDM na kuiacha CCM as if haijawahi kufanya hayo. Hii tuiiteje? Btw, nimeshakusoma sehemu nyingi una tatizo na CDM, ambayo ni haki yako..... Wakati huo huo ukiiponda CDM, unaowashabikia wanafanya hayo hayo na pengine worse zaidi.
Hata hivyo ni haki yako, nilitaka tu kukumbusha uache unafiki!
U-DC wa Insta umemshinda?Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kuchukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
Halafu huyu si ana kesi ya kumdhalilisha Menina.U-DC wa Insta umemshinda?