sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
Toangoma ni uzunguni? 😅😅Hivi sijui kwa Nini kajenga uswazi vile,si angeenda zake hata Toangoma huko nje ya mji
Ukishavuka morogoro road uaanza kuitwa wa uswahilini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toangoma ni uzunguni? 😅😅Hivi sijui kwa Nini kajenga uswazi vile,si angeenda zake hata Toangoma huko nje ya mji
Ya Jaku ni ya kukinga kodi.Ile nyumba ya mwijaku japo ni ghorofa ila sio ya kifahari kama ya Peter Msechu...peter msechu ana nyumba bana tena ya kifahari well decorated...any way hongera zake Mwija...
Jitulize wenge wewe....namaanisha sehemu zisizo kuwa na populationToangoma ni uzunguni? 😅😅
Ukishavuka morogoro road uaanza kuitwa wa uswahilini.
Hatimae Diamond katambua asili yake ni mwakaleli,kwa Akina mwasalipa,mwakaje,mwasandube ,mwaikuka ,yeye ni WA ukoo wa mwambino😆😆😆MWAMBINO
Wewe ndio una wenge kumwambia kajenga uswazi eti akajenge toangoma....nakupa tu elimu ukishavuka morogoro road upande wa pili wote ni uswekeni.Jitulize wenge wewe....namaanisha sehemu zisizo kuwa na population
Kubishana na mwanaume anayefunga kamba viatu wanaume wenzie nayo inabidi ule ushibe....Sawa nimekuelewa okWewe ndio una wenge kumwambia kajenga uswazi eti akajenge toangoma....nakupa tu elimu ukishavuka morogoro road upande wa pili wote ni uswekeni.
Siwezi bishana na wewe nakuelimisha. Huna ubavu wala brain ya kubishana na mimiKubishana na mwanaume anayefunga kamba viatu wanaume wenzie nayo inabidi ule ushibe....Sawa nimekuelewa ok
😅😄😁😃Bado HajasemaAtajichanganya tu subirieni
Sawa chawaSiwezi bishana na wewe nakuelimisha. Huna ubavu wala brain ya kubishana na mimi
Atakwambia kuchangamsha mitandaoAtajichanganya tu subirieni
wa manyema watusaidie....Hilo jina Mwambino Lina maana gani by the way?
Nyumba ya chini iliyochangamka "Dotto Magari"Ya Jaku ni ya kukinga kodi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atajichanganya tu subirieni
Chawa wa faida, Mwijaku, Baba Levo, Manara,, wengine machawa ziro wasiopata faida.Sawa chawa
Hakuna B pale ila pia sio 200mIle gorofa ya Mwijaku Kama alitumia zadi ya 200M kuijenga basi alipigwa sana. Gorofa lipo squatter area, kiwanja ni kama 400spm alafu anaimba kila mahali eti ametumia 1.3bn!!!
Huyo Jaku ana background ya criminal conducts in box, just wait a bit it will be on air soon and he's gonna be exposed. Allah Akbar.Ukweli unatuweka huru.
Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake.
Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz.
Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana.
Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu.
Mungu ataendelea kukupa baraka.
===
Siwezi kupinga ukweli ..! Safari yangu ya kwanza Qatar (WorldCup) na malipo yake ndio yalio nifanya ninunue eneo na kuanza safari yangu ya kujenga KASRI langu (Ndoto yangu).
Ukweli usemwe, Ulinipa rizki kupitia kampuni yako, nami nikaitumia vizuri, sitakiii kua mchoyo ya kushukuru, Nakumbuka tulipo kua Qatar ulinambia kua "Pambana wakati wako huu DC" nami nikaichukua hiyo kauli.
Tarehe 5/01/2024 Nimekamilisha ndoto yangu. Kupitia Kampuni yako ilinipa mkataba zaidi ya miaka miwili na malipo ya kila mwezi na nikatumia kama sehemu ya uwekezaji kwangu.
Nasema Asante MWAMBINO. Diamond Platnumz sitaki kuja kusubiria ukifa au nikifa ndio yasemwe haya. Ulinifaa wakati wa shida na wakati wa mahitaji Muhimu.
Asante kwa Don Fumbwe Nakumbuka mzigo ulio nipa magomeni usiku wa saa mbili baada ya kupokea simu toka kwa mwambino ndio ulizaa uwekezaji huuuu. Asante kwako kwa kua hukunizunguusha kunikabidhi haki yangu.
Nimshukuru pia mama mzazi wa MWAMBINO mama Dangote, ulinipa ushirikiano mkubwa pale QATAR na kunambia fanya kazi uisaidie familia yako na niache CHUKI binafsi. Nikakwambia simchukii MWAMBINO but ni kuchangamsha mitandao yetu. Asante kwa kunielewa mama yangu.
Haya Mengine ya mtandaoni ni sehemu zetu za kunogesha game na kuhakikisha tunapambana kukuza burudani.
Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa fikra za kuwasaidia wengine kwa kuwapa kazi na kuwapa usia wa kutumia vizuri vipato wanavyo vipata. Asante kwa hili MWAMBINOOO.
Mungu akubariki wewe na kizazi chako. Sema na mimi nakushaurii OA mkubwa wakati wako huu Muoe ZUCHU ana UPEPOO WAKO 🙏🏾.