Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

Hivi sijui kwa Nini kajenga uswazi vile,si angeenda zake hata Toangoma huko nje ya mji

Kisota Sio uswazi i see. Kupo Poa sana. Barabara tu Ndio kuchangiana kufanya Maintainance. Kule almost kila mtu “na hapa ipo”
 
Alimpa Kwa kazi Gani mbona haweki wazi?yaani daimond ampe tu Hela ampeleke Qatar yeye ni mkewe?Hii kauli inaelekea kuprove theory yangu,na tunamjua kabisa mwambino anavyopenda smbe
Acha ukilaza ww na umaskini ulionao unafkiri kila mwenye pesa ni muuza sembe!! Sasa kwa akili yako ndogo haujaelewa kuwa mwijaku alikua balozi wa kampuni ya wasafi bet !! Wasafi bet walienda watu wengi tu qatar hasa mabalozi wao
 
Kwa hiyo bet ndo ikamuingizia 1.6, au alishinda wasafi bet
 
Vipi hiyo mfukua...mitaro ( Kiba) yeye hatpi roziki kws vijana kuwanyanyua au ndio mpaka awaharibu ? Sifa hiyo ime trehd sana kuhusu yeye......khaaa
 
Back
Top Bottom