Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

ikiwa hizi ndo kazi zake, ni kipi cha ajabu kwake mpaka umtumie kama mfano wa watu wasio na aibu ili wapate,...mbona kazi yake ya uchawa hujaiorodhesha hapo?...

Uchawa ni branding yake ya kazi.

Katika sanaa lazima uwe na njia ya kujenga brand yako.

Kumbuka mwijaku ana degree ya sanaa ya maigizo kutoka chuo kikuu cha dar es salaam.

Anajua anachokifanya
 
Back
Top Bottom