Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
Pia Soma:
Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais
A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...