Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu

Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu

anafanya biashara haramu?!!
Mwijaku tafadhali ufike polisi ili uweze kulisaidia Jeshi la Polisi.
Mwijaku tafadhali fika ktk kituo cha polisi ili utoe ufafanuzi juu ya biashara haramu anayo ifanya ili hatua kali zichukuliwe dhidi yake.
 
Kitu kimoja watu wengi hawakijui na ni kama trend watu wanaofanya baishara zenye kiza wengi wao hata wanasiasa huwa ni watu wema sana na watu wa kawaida sana ndani ya jamii.
Ukiwahi kukutana na " Babu" alias Mtama mchungu ukiongea nae huwezi jua kama huyu mtu ni mafia maana ni mtu mcheshi, habagui na hana muenekano ulio na wasiwasi. na anaswali swala tano. Utaweza kumtambua tuu sababu ya substance inayotoka akilini mwake utajua huyu mtu ni intelligent and travelled a lot.
samahanini waislamu ila wauza ngada wengi wa kiislamu msikitini ni swala tano, wanasaidia sana jamii, wacheshi ila ukiingia kwenye 18 zao ndio utajua rangi zao.
Umenikumbusha mafia moja ya Kariakoo ilikuwa inatoa sadaka misikitini na mtaani ni mtu mwema sana.

Lakini blood Handy
 
May be Ndio maana makonda aliendaga bila taarifa na mitutu kufanya ukaguzi pale clouds then wakazusha alienda kuwavamia I think makonda alipata data kuhusu kinachoendelea nyuma ya clouds

Lakini wale watu wananguvu ya kujiprotect na serikali kwa KIASI chake wameishika mfano nape na clouds ni pete na kidole na hata aling'olewa na JPM kwa kusimama upande wa clouds Wakati ule akiwa waziri wa mawasiliano na HABARI

Nafikiri up to now makonda na clouds haviwaki
Lopolopo Bashite ajue kuna ngada asiseme?😂😂
 
Madudu na ana degree 2 zote za UDSM
Ila kuwa na degree 2 au hata zaidi hakumfanyi mtu akawa anajua kila kitu.
(A jack of all Trades). Labda alichosomea huko hadi kupata degree ni cha fani tofauti na hivyo tukirudi kwenye hiki alichoandika, inawezekana ameandika tu kama layman mwingine.
 
Ila kuwa na degree 2 au hata zaidi hakumfanyi mtu akawa anajua kila kitu.
(A jack of all Trades). Labda alichosomea huko hadi kupata degree ni cha fani tofauti na hivyo tukirudi kwenye hiki alichoandika, inawezekana ameandika tu kama layman mwingine.
Ndio ndio kabisa Mkuu
 
Huyu Mwijaku kama Nabii Tito, iko siku atakuja kutwambia lini alianza kuwa bwabwa na nani alimfanya awe bwabwa kazidi mdomo, yani duh.
 
Masoud ni Moja ya born town kuhusu deal chafu siwezi kabisa kusema hapana au ndio masoud kaendesha Benz wakati kusaga akiendesha Pajero kitambo sana "kwa kuchora katuni"
Ils watz wanachukulia poa sana thamani ya pesa..vyombo vya uchunguzi vikiwa serious tutakimbia magari yetu.
 
Wengi wasichokielewa pia hawa watu walio kwenye tasnia ya habari, utangazaji, upiga picha na media houses wengi ni part ya mfumo wa usalama wa nchi. Wajua mtu kama masoud uki mrecruit kama asset anaweza aka gather lots of information sababu ana fanya kazi nyingi na NGOs hasa za elimu zinazotomia fine art, Masoud marekani anaendaga kwa mialiko ya serikali ya marekani kwenye trainings and capacity building kupitia fine arts. Si rahisi sana mtu kama huyu kujihusisha na mambo ya kihuni. Embassy kama Us ina screen sana stakeholders wake.
 
Masoud ni Moja ya born town kuhusu deal chafu siwezi kabisa kusema hapana au ndio masoud kaendesha Benz wakati kusaga akiendesha Pajero kitambo sana "kwa kuchora katuni"
Sio kazi mbili mbili yule kweli 🤔
 
Back
Top Bottom