HIvi jamaa ana miaka mingapi? Niko primary naona katuni zake... sasa hivi mimi mzee kabisa.. au alirithi kazi ya uchoraji kutoka kwa mshua wake labda?Masudi mtoto wa magomeni pale karibu na ekenywa hospital,primary mwamba kapiga mzimuni badala ya karume ambapo ni mita 100 tu toka nyumbani kwao,kwa tunaomjua masud tunasema acha tu waone mwijaku ni mropokaji ila kapiga mule mule