cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watuNilitaka nishangae kweli kuchora katibu kunalipa kiasi kile asante mwijaku kutusanua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watuNilitaka nishangae kweli kuchora katibu kunalipa kiasi kile asante mwijaku kutusanua
MwambieNifah atakuwa anafahamu coz amekaa Magomeni kitambo ingawaje hakuzaliwa na kukulia lakini info atakuwa nazo za kutosha kwani source zake ni kali!
Unatakiwa kujua maisha ya mjini yamewakuta kina masoud na maana kwamba kama kupiga pesa washapiga kunyonya wasanii, kusimamia event mbali mbali, kuongoza harakati mbali mbali kwenye media nk mfano mdogo tu idea ya maisha plus kama umaskini unauaga mikataba ya wadhamini na pesa walizojipatia nk so masoud kuwa na maisha si jambo la kushangaa cause kuna vitu vingi washafanya kabla kina mwijaku hawajaja mjini wao washavifanya kama umarufu na uchawa washafanya masoud is famous kuanzia kiongozi wa nchi namba moja nchi hii marehemu nyerere kafa anamjua masoud ni nani awamu zote unazozijia nchi hii mpaka sasa mama kizimkazi anamjua masoud ni nani na anaushawishi upi kwenye jamii ya kitanzania wanamjua kwa kazi yake ya kikatuni pengini nikukumbushe unakumbuka kipindi cha sakata la kuteka teka watu kupotea ikaja tarifa masoud kachukuliwa na watu wasiojulikana uliona reaction yake jamii ilivyochukuliaNilitaka nishangae kweli kuchora katibu kunalipa kiasi kile asante mwijaku kutusanua
Na hizo habari hata wewe mwenyewe muhusika huzijui.Ujinga ujinga tu. Siku hizi ukizozana na mwanaume wa Dar lazima akutishie kuwa ana habari zako. Yaani haijalishi wewe ni mtoto, mzee, mwanaume mwenzake, mwanamke nk. Kitisho chao kikubwa ni "Nina habari zako."
Amenyae kwa meno kamwe haachi kutemaKunani, shida nini, chanzo nini?
Mbona mzee wake anaishi humble life pale kijitonyama karibu na shule ya sekondari.Masoud ni Moja ya born town kuhusu deal chafu siwezi kabisa kusema hapana au ndio masoud kaendesha Benz wakati kusaga akiendesha Pajero kitambo sana "kwa kuchora katuni"
Mbona nguvu nyingi kwenye utetezi vp !!??Unatakiwa kujua maisha ya mjini yamewakuta kina masoud na maana kwamba kama kupiga pesa washapiga kunyonya wasanii, kusimamia event mbali mbali, kuongoza harakati mbali mbali kwenye media nk mfano mdogo tu idea ya maisha plus kama umaskini unauaga mikataba ya wadhamini na pesa walizojipatia nk so masoud kuwa na maisha si jambo la kushangaa cause kuna vitu vingi washafanya kabla kina mwijaku hawajaja mjini wao washavifanya kama umarufu na uchawa washafanya masoud is famous kuanzia kiongozi wa nchi namba moja nchi hii marehemu nyerere kafa anamjua masoud ni nani awamu zote unazozijia nchi hii mpaka sasa mama kizimkazi anamjua masoud ni nani na anaushawishi upi kwenye jamii ya kitanzania wanamjua kwa kazi yake ya kikatuni pengini nikukumbushe unakumbuka kipindi cha sakata la kuteka teka watu kupotea ikaja tarifa masoud kachukuliwa na watu wasiojulikana uliona reaction yake jamii ilivyochukulia
KP angeamua awe kiongozi wa kisiasa nchi hii angepata cause yupo kwenye game kitambo anajua figisu zote na kurob mifumo nk anajua hata angetaka teuzi angepata cause anajua A to Z kwakua ashajipata na anajua ukweli wa mambo katulia zake clouds anafanya anachopenda so mtu kama mwijaku kumtusi masoud ni dharau kubwa sana mwijaku kaonyesha kuwa ni ushamba na kamjua masoud baada ya kuja mjini hana profile la masoud pamoja na kukaa naye clouds hakumjua KP cause masoud ana uwezo kuwatengeneza kina mwijaku 50 mjini katika mwaka mmoja ila mwijaku hana uwezo kuwatengeza kina KP hata mmoja mjini
Kwaiyo ukisikia masoud kipanya is brand born town kitambo anajua mambo
Hao wote hawana marinda dili zao kuinamishwa tuNaomba kuuliza, Watoto wa Magomeni mna tofauti na Watoto wa Kino?
Kweli kabisa. Masoud ni legend anaeishi.Unatakiwa kujua maisha ya mjini yamewakuta kina masoud na maana kwamba kama kupiga pesa washapiga kunyonya wasanii, kusimamia event mbali mbali, kuongoza harakati mbali mbali kwenye media nk mfano mdogo tu idea ya maisha plus kama umaskini unauaga mikataba ya wadhamini na pesa walizojipatia nk so masoud kuwa na maisha si jambo la kushangaa cause kuna vitu vingi washafanya kabla kina mwijaku hawajaja mjini wao washavifanya kama umarufu na uchawa washafanya masoud is famous kuanzia kiongozi wa nchi namba moja nchi hii marehemu nyerere kafa anamjua masoud ni nani awamu zote unazozijia nchi hii mpaka sasa mama kizimkazi anamjua masoud ni nani na anaushawishi upi kwenye jamii ya kitanzania wanamjua kwa kazi yake ya kikatuni pengini nikukumbushe unakumbuka kipindi cha sakata la kuteka teka watu kupotea ikaja tarifa masoud kachukuliwa na watu wasiojulikana uliona reaction yake jamii ilivyochukulia
KP angeamua awe kiongozi wa kisiasa nchi hii angepata cause yupo kwenye game kitambo anajua figisu zote na kurob mifumo nk anajua hata angetaka teuzi angepata cause anajua A to Z kwakua ashajipata na anajua ukweli wa mambo katulia zake clouds anafanya anachopenda so mtu kama mwijaku kumtusi masoud ni dharau kubwa sana mwijaku kaonyesha kuwa ni ushamba na kamjua masoud baada ya kuja mjini hana profile la masoud pamoja na kukaa naye clouds hakumjua KP cause masoud ana uwezo kuwatengeneza kina mwijaku 50 mjini katika mwaka mmoja ila mwijaku hana uwezo kuwatengeza kina KP hata mmoja mjini
Kwaiyo ukisikia masoud kipanya is brand born town kitambo anajua mambo
Huyu jamaaa analiwaaaa kweli au ni maneno tu? ( Nimesikia sana watu wakisema).JF kuwajadili mashoga kama huyu Mwijaku ni kuishushia heshima na viwango JF yetu.
Huu upuuzi mwingine muwe mnauacha hukohuko Instagram.
Kwa uandishi huu huyu jamaa ni mpumbavu
Pia Soma:
Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais
A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...www.jamiiforums.com
Nakazia mkuu.Unatakiwa kujua maisha ya mjini yamewakuta kina masoud na maana kwamba kama kupiga pesa washapiga kunyonya wasanii, kusimamia event mbali mbali, kuongoza harakati mbali mbali kwenye media nk mfano mdogo tu idea ya maisha plus kama umaskini unauaga mikataba ya wadhamini na pesa walizojipatia nk so masoud kuwa na maisha si jambo la kushangaa cause kuna vitu vingi washafanya kabla kina mwijaku hawajaja mjini wao washavifanya kama umarufu na uchawa washafanya masoud is famous kuanzia kiongozi wa nchi namba moja nchi hii marehemu nyerere kafa anamjua masoud ni nani awamu zote unazozijia nchi hii mpaka sasa mama kizimkazi anamjua masoud ni nani na anaushawishi upi kwenye jamii ya kitanzania wanamjua kwa kazi yake ya kikatuni pengini nikukumbushe unakumbuka kipindi cha sakata la kuteka teka watu kupotea ikaja tarifa masoud kachukuliwa na watu wasiojulikana uliona reaction yake jamii ilivyochukulia
KP angeamua awe kiongozi wa kisiasa nchi hii angepata cause yupo kwenye game kitambo anajua figisu zote na kurob mifumo nk anajua hata angetaka teuzi angepata cause anajua A to Z kwakua ashajipata na anajua ukweli wa mambo katulia zake clouds anafanya anachopenda so mtu kama mwijaku kumtusi masoud ni dharau kubwa sana mwijaku kaonyesha kuwa ni ushamba na kamjua masoud baada ya kuja mjini hana profile la masoud pamoja na kukaa naye clouds hakumjua KP cause masoud ana uwezo kuwatengeneza kina mwijaku 50 mjini katika mwaka mmoja ila mwijaku hana uwezo kuwatengeza kina KP hata mmoja mjini
Kwaiyo ukisikia masoud kipanya is brand born town kitambo anajua mambo
Masudi mtoto wa magomeni pale karibu na ekenywa hospital,primary mwamba kapiga mzimuni badala ya karume ambapo ni mita 100 tu toka nyumbani kwao,kwa tunaomjua masud tunasema acha tu waone mwijaku ni mropokaji ila kapiga mule muleMasoud ni Moja ya born town kuhusu deal chafu siwezi kabisa kusema hapana au ndio masoud kaendesha Benz wakati kusaga akiendesha Pajero kitambo sana "kwa kuchora katuni"