E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,054 Reaction score 1,725 Jun 20, 2024 #81 Mgagaa na Upwa said: Masudi mtoto wa magomeni pale karibu na ekenywa hospital,primary mwamba kapiga mzimuni badala ya karume ambapo ni mita 100 tu toka nyumbani kwao,kwa tunaomjua masud tunasema acha tu waone mwijaku ni mropokaji ila kapiga mule mule Click to expand... HIvi jamaa ana miaka mingapi? Niko primary naona katuni zake... sasa hivi mimi mzee kabisa.. au alirithi kazi ya uchoraji kutoka kwa mshua wake labda?
Mgagaa na Upwa said: Masudi mtoto wa magomeni pale karibu na ekenywa hospital,primary mwamba kapiga mzimuni badala ya karume ambapo ni mita 100 tu toka nyumbani kwao,kwa tunaomjua masud tunasema acha tu waone mwijaku ni mropokaji ila kapiga mule mule Click to expand... HIvi jamaa ana miaka mingapi? Niko primary naona katuni zake... sasa hivi mimi mzee kabisa.. au alirithi kazi ya uchoraji kutoka kwa mshua wake labda?
E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,054 Reaction score 1,725 Jun 20, 2024 #82 Ila bongo ukitoboa tu chuki zinaanza, mara freemason mara mzungu wa poda..
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jun 20, 2024 #83 Dr Matola PhD said: JF kuwajadili mashoga kama huyu Mwijaku ni kuishushia heshima na viwango JF yetu. Huu upuuzi mwingine muwe mnauacha hukohuko Instagram. Click to expand... Naunga Mkono hoja Kuna habari za kizushi zinazopaswa kuishia huko facebook na Insta na kuna habari za kujadiliwa humu JF Hizi za kina Shoga Mwijaku ni takataka mbichi
Dr Matola PhD said: JF kuwajadili mashoga kama huyu Mwijaku ni kuishushia heshima na viwango JF yetu. Huu upuuzi mwingine muwe mnauacha hukohuko Instagram. Click to expand... Naunga Mkono hoja Kuna habari za kizushi zinazopaswa kuishia huko facebook na Insta na kuna habari za kujadiliwa humu JF Hizi za kina Shoga Mwijaku ni takataka mbichi