JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo yake:
“Mimi siwezi kukaa naomba hela, mke wangu atanionaje, mwanaume unakaa unaomba hela, nina afya nashukuru Mungu kanipa afya nzuri nafafanya kazi.
“Utalipa kitu gani ukiomba hela kwa mwanaume mwenzako? Mwanamke akiomba atapata hela kwa mwanaume anafadhila ya kulipa, utapata mabusu, atakubimba bimba, atakupetipeti, utaona hela yangu imeenda kihalali.
“Mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzio tena unaomba hela ya kodi, mshipa umekusimama unaomba hela, utamlipaje?”