Mwijaku kuhusu H Baba kujitoa Konde Gang, mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzako, utamlipaje?

Mwijaku kuhusu H Baba kujitoa Konde Gang, mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzako, utamlipaje?

Bongo fakero wengi, ni ngumu kujua yupi anazungumza ukweli na yupi muongo, una watu wanakunywa ma hannessy tu sijui uwa wanaomba wapige picha na chupa au aje.... Sasa ngoja waugue ndo unabaki haaa¡
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full dramaz yaan.
 
Na mwanaume kwa mwanaume kwann asiitwe mbeba wallet, ila chawa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila uchawa wa mwanaume kwa mwanaume kuna tatzo kidogo lol.
Chawa wa mwanaume hawezi kua mwanamke hata siku moja ataishia kuliwa tu.
Na machawa hao kina mwijaku, h baba na baba levo ni vile tu wanafahamika ila kitaa machawa ni wengi mnooo.

Mtu akiwa na status au pesa kidogo tu aisee hakosi chawa. Maisha ndo yanafanya watu wawe chawa na nadhani uchawa una addiction maana hawaachagi hawa watu.
 
Mwijaku Ni huwa namuona ni mpuuzi Sana, ila kiukweli hapa kaongea fact.
 
Chawa wa mwanaume hawezi kua mwanamke hata siku moja ataishia kuliwa tu.
Na machawa hao kina mwijaku, h baba na baba levo ni vile tu wanafahamika ila kitaa machawa ni wengi mnooo.

Mtu akiwa na status au pesa kidogo tu aisee hakosi chawa. Maisha ndo yanafanya watu wawe chawa na nadhani uchawa una addiction maana hawaachagi hawa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
 
Huyo anayemsema H baba na yeye wote walewale hamna tofauti.

Ila sijui kwa nini machawa wote ni watoto wa kiume, kila mara kuwafuata fuata na kuwasifia wanaume wenzao mpaka unahisi may be wamezisaliti jinsia zao.
Vijana wa mikoani hao
 
Back
Top Bottom