Chawa wa mwanaume hawezi kua mwanamke hata siku moja ataishia kuliwa tu.
Na machawa hao kina mwijaku, h baba na baba levo ni vile tu wanafahamika ila kitaa machawa ni wengi mnooo.
Mtu akiwa na status au pesa kidogo tu aisee hakosi chawa. Maisha ndo yanafanya watu wawe chawa na nadhani uchawa una addiction maana hawaachagi hawa watu.