Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule.

ndivyo dunia ya kibepari ilivyo...sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una akili sana maisha hayaendi maana hizi ni zama za Capitalism duniani. Watoto wao ndio watatumia akili nzuri, si wanapelekwa shule nzuri kwa sasa?

Wao mwijaku na baba levo wamejifanya wamezima data kidogo maisha yaende. Kahesabu maelfu ya vijana wanaograduate kila mwaka na kukosa ajira.

Kipato cha mwijaku na baba levo kwa mwaka ni zaidi ya wasomi wengi sana Tanzania
Wasomi wengi wapo kwenye kazi nyingi sana na vipato vyoa ni vikubwa kulingana na elimu zao labda ungesema wamewazidi wasomi ambao hawajapata kazi
 
Kabla ya uchawa walikuwepo wapambe,haya mambo yako tokea zamani
Sema chawa,wapambe wa sasa wanajionesha mpaka kwenye media
Mitandao ya kijamii
Kuna watu mjini walikuwa wanaishi tu kwa kuwatafutia watu fulani maarufu wanawake tu na kuwasifiaaa

Ova

Kundi hilo linaongozwa na yule bwana mfupi kwanza waliitwa kuwadi, wapambe na sasa wanaitwa chawa
 
FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule.

ndivyo dunia ya kibepari ilivyo...sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una akili sana maisha hayaendi maana hizi ni zama za Capitalism duniani. Watoto wao ndio watatumia akili nzuri, si wanapelekwa shule nzuri kwa sasa?

Wao mwijaku na baba levo wamejifanya wamezima data kidogo maisha yaende. Kahesabu maelfu ya vijana wanaograduate kila mwaka na kukosa ajira.

Kipato cha mwijaku na baba levo kwa mwaka ni zaidi ya wasomi wengi sana Tanzania
We kuwaona hao wajinga wawili wanapesa,basi umeona wasomi wote hawana pesa?wasomi hawana majigambo,huu uwanja unaoutumia unajua ulianzishwa na msomi?Tena sio wa IT,ni injinia wa civil,
Pale makumbusho zilipo ofisi kuu za voda na Tigo,unajua Yale majengo yanamilikiwa na injinia wa umeme?
Je umeziona nguzo za zege zinazotumiwa na Tanesco?kampuni yake ndio inazitengeneza,unafikiri anapiga pesa kiasi gani?
Kuna kampuni moja ya IT juzi hapa ilitangaza imeajiri CEO kutoka Kenya aliyesoma Havard,hiyo kampuni sio ya chawa kama hao uliowataja,ni ya msomi.
Wewe unashangaa watu kujifanya wajinga Ili wapige pesa,hata Malaya na machangu wanapiga pesa,
Wasomi wapo kibao wenye pesa ndeefu,hata Mond aoni ndani.
 
Utajiri upiii kupanga nyumba sinza na mbezi Beach ngoja siku wapatwe na shida ndio utajua vizuri uhalisia
Kwanza deals nyingi bongo hapa ni njaa kali zikizidi unapewa million 1 tena kwa installment
 
FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule.

ndivyo dunia ya kibepari ilivyo...sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una akili sana maisha hayaendi maana hizi ni zama za Capitalism duniani. Watoto wao ndio watatumia akili nzuri, si wanapelekwa shule nzuri kwa sasa?

Wao mwijaku na baba levo wamejifanya wamezima data kidogo maisha yaende. Kahesabu maelfu ya vijana wanaograduate kila mwaka na kukosa ajira.

Kipato cha mwijaku na baba levo kwa mwaka ni zaidi ya wasomi wengi sana Tanzania
Copy & paste
 
Back
Top Bottom