Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kesho ukiskia wamepakwa kulainisha kisa kuzima data, Rudi usifie tena
Kiwango cha juu kabisa cha kujizima data hicho [emoji3][emoji3]"Ningekuwa mwanamke , lazima ningetembea na diamond " by baba levo. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ungeanza na tulia yeye hajazima data kanunua kitochiHao wasomi "wakizima data" mnaanza kuwaita wasomi uchwara. Profesa Lipumba alizima data akashambuliwa, Dr Slaa nae alizima data akashambuliwa juzi kati hapa Profesa mmoja alizima data na kutoa ripoti mchongo ya maji ya mto Mara hakukukalika, wapumzisheni basi hao wasomi wakizima data Mwijaku na Baba Levo yatosha!
Flight mode 😂😂😂😂Kiwango cha juu kabisa cha kujizima data hicho [emoji3][emoji3]
Ila wao watachangiwa, majina na uchawa vinawapa majina mjini.Vipi wakiugua hawata kuja kutuchangisha
Nitajie mjinga mmoja tu ambae ni bilionea. Au nitajie mjinga mmoja hata bongo ambae ni milioneaDuniani kote wasomi hasa wa Sayansi hufa njaa huku wajinga wajinga wakiwa ma-billionea. Dunia ndiyo ilivyo ndugu.
Nimesoma hii comment nikiwa nacheka sana.Hao wasomi "wakizima data" mnaanza kuwaita wasomi uchwara. Profesa Lipumba alizima data akashambuliwa, Dr Slaa nae alizima data akashambuliwa juzi kati hapa Profesa mmoja alizima data na kutoa ripoti mchongo ya maji ya mto Mara hakukukalika, wapumzisheni basi hao wasomi wakizima data Mwijaku na Baba Levo yatosha!
Kampuni zinaangalia impact kwenye bank haziangalii watu wanafanya nini? As long as baba levo akitumika anaweza kusababisha brand yao kuongeza wateja zaidi na finances basi watamsainisha tu kumlipa 3M kila mwezi wakati wao wanaingiza 50MHao uwezo wao wa akili umeishia hapo , Tanzania haiwez toa nafas hata 20 za watu kujifanya fyatu kama hao vilaza na wote wakamake money , hata hvyo nchi ina nafas nyingi Zaid katika field nyingi zaidi Kwa watu kufanya .... Hii nchi ina wazembe wengi na wapenda umbea thus why hao machawa wanatembea ....na makampuni badala ya kuwekeza kwa vijana wanaotoa mwanga mfano wale vijana wa Arusha waliotengeneza bajaji , badala yake kampuni linalofanya vitu scientifically linapeleka endorsement Kwa machawa walioishia la Saba ..
Malizia story ya Lindi acha wengeI better stay poor on earth and die poorest but money can't buy DIGNITY.
Wewe jamaa umenichekesha saaaana. Kwa hiyo jamaa arudi kusifia tena!?Kesho ukiskia wamepakwa kulainisha kisa kuzima data, Rudi usifie tena