Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

Wasomi wengi wapo kwenye kazi nyingi sana na vipato vyoa ni vikubwa kulingana na elimu zao labda ungesema wamewazidi wasomi ambao hawajapata kazi
 
Kabla ya uchawa walikuwepo wapambe,haya mambo yako tokea zamani
Sema chawa,wapambe wa sasa wanajionesha mpaka kwenye media
Mitandao ya kijamii
Kuna watu mjini walikuwa wanaishi tu kwa kuwatafutia watu fulani maarufu wanawake tu na kuwasifiaaa

Ova

Kundi hilo linaongozwa na yule bwana mfupi kwanza waliitwa kuwadi, wapambe na sasa wanaitwa chawa
 
We kuwaona hao wajinga wawili wanapesa,basi umeona wasomi wote hawana pesa?wasomi hawana majigambo,huu uwanja unaoutumia unajua ulianzishwa na msomi?Tena sio wa IT,ni injinia wa civil,
Pale makumbusho zilipo ofisi kuu za voda na Tigo,unajua Yale majengo yanamilikiwa na injinia wa umeme?
Je umeziona nguzo za zege zinazotumiwa na Tanesco?kampuni yake ndio inazitengeneza,unafikiri anapiga pesa kiasi gani?
Kuna kampuni moja ya IT juzi hapa ilitangaza imeajiri CEO kutoka Kenya aliyesoma Havard,hiyo kampuni sio ya chawa kama hao uliowataja,ni ya msomi.
Wewe unashangaa watu kujifanya wajinga Ili wapige pesa,hata Malaya na machangu wanapiga pesa,
Wasomi wapo kibao wenye pesa ndeefu,hata Mond aoni ndani.
 
Utajiri upiii kupanga nyumba sinza na mbezi Beach ngoja siku wapatwe na shida ndio utajua vizuri uhalisia
Kwanza deals nyingi bongo hapa ni njaa kali zikizidi unapewa million 1 tena kwa installment
 
Copy & paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…