Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

Ha ha kwahiyo unataka na wao wajizime data
 
Hao uwezo wao wa akili umeishia hapo , Tanzania haiwez toa nafas hata 20 za watu kujifanya fyatu kama hao vilaza na wote wakamake money , hata hvyo nchi ina nafas nyingi Zaid katika field nyingi zaidi Kwa watu kufanya .... Hii nchi ina wazembe wengi na wapenda umbea thus why hao machawa wanatembea ....na makampuni badala ya kuwekeza kwa vijana wanaotoa mwanga mfano wale vijana wa Arusha waliotengeneza bajaji , badala yake kampuni linalofanya vitu scientifically linapeleka endorsement Kwa machawa walioishia la Saba ..
 
Ungeanza na tulia yeye hajazima data kanunua kitochi
 
Nimesoma hii comment nikiwa nacheka sana.

Enewei, hqya ndio maisha yalivyo.

NB: Kuzima data not for every one
 
Kampuni zinaangalia impact kwenye bank haziangalii watu wanafanya nini? As long as baba levo akitumika anaweza kusababisha brand yao kuongeza wateja zaidi na finances basi watamsainisha tu kumlipa 3M kila mwezi wakati wao wanaingiza 50M
 
Huu Ni upumbavu mkubwa unaoendekezwa na media, unatuharibia Sana vijana wa Taifa la kesho hasa hivi vi online media havina content za maana kazi Ni kurusha interview za ajabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…